Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sh ngapi Kama hicho?kitoto cha german shephard bora kabisaView attachment 887943
hawa wanatumiwa Mongolia, China, Nepal kwa ajili ya kulindia kondoo dhidi ya dubu na wanyama wengine wakali
Mkuu hapa bongo naweza kupata Serbian Husky na Dobbermann?
huyu bogo anapatikana?
kwa mazingira ya Tz inategemea uko wapi?
kwani asili yao ni maeneo ya baridi
huyu bogo anapatikana?
Mkuu naomna mbeguMi nafunga mbwa wa kiswahili na wako vzr Sana,kiulinzi ata adabu pia.nawapa huduma zote stahiki ikiwa chakula,chanjo zote,na kuoga kira jpili.kiukweli ulinzi tosha..