Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Sio tu kesi ya mauaji alivyo aggressive ipo siku hata wewe ana kuleftisha duniani.
mbwa aggresive ni hatari sana kwa familia,
mimi binafsi pamoja na kupenda mbwa sipendi mbwa aggresive hata rottweiler siwezi kumfuga kwani ni hatari kwa familia
unnamed.jpeg
 
Ganja lazima nikimoka wakiskia harufu tu lazima waje nilipo ,sasa huwa siwavutishi ila nawapulizia moshi ,wanasizi halafu nawazibua na wine dah ,hawa mbwa nikifa watapata tabu sana ,lazima wawe rebellious kwa watakao baki ,wana enjoy life style nayowapa
mkuu hii mifugo huwa inavutia sana i wish nimalize kwangu kujenga niwafuge tena aisee.
 
Mpendwa mwana jf, unaweza kushangaa kusikia kuwa mbwa ni biashara nzuri kupita hata kufuga ng'ombe kibiashara na ukashangaa.
Uzi huu utakuwa ni maalum katika kupeana uzoefu katika biashara hii ya kufuga mbwa kwa lengo la kujipatia kipato na ulinzi pia.
Tutajifunza aina bora na inayohimili mazingira yetu hasa Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.
Hivyo mdau ikiwa wewe ni mfugaji wa wanyama hawa kibiashara, nakukaribisha sana utupatie uzoefu juu ya aina mbali mbali mfano;
a) German shephard
b) Belgian shephard
c) Bull dog
d) Rottweiler
e) Ridge back nk

mambo muhimu ya kupeana uzoefu;
1) banda/ nyumba bora ya kufugia
2) chanjo
3) Masoko nk


View attachment 887893View attachment 887894

maelezo ya German shephard soma post #5

Ni nakukarisha utupe uzoefu wako na kwa wale wanaotamani kujifunza mnalaribishwa kwa maswali na wadau watakujibu
Kuna jamaa yangu mmoja ana wauza mbwa aina hii ambao anao mtu ambaye yuko interested tuwasiliane nikunganishe naye!

Ova
IMG-20181002-WA0001.jpg
 
Mi nafunga mbwa wa kiswahili na wako vzr Sana,kiulinzi ata adabu pia.nawapa huduma zote stahiki ikiwa chakula,chanjo zote,na kuoga kira jpili.kiukweli ulinzi tosha..
mbwa wa kienyeji ukianza mafunzo ya nidhamu mapema pia wako vizuri sana
 
Back
Top Bottom