Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Labda huyo jamaa ila mimi ni moderate drinker. Nikiwa tipsy kidogo basi inatosha.
haya tuendelee na kazi yetu kabla hujaenda harusini hahaha
ambermay20111hemsida.jpeg
 
Norwegian Lundehund
picha imego, msaada pliz
 
Leo tumwangali huyu Belgian shephard aina ya Malinois, tamka kwa kiswahili "Malinwaa"

Huyu ni Mbwa Kibelgiji aliyefugwa enzi na enzi, Wabelgili waliwafundisha kuchunga kondoo kiasi kwamba waliweza kwenda machungani na kondoo na kuhakikisha wanawarudisha nyumbani salama baada ya saa za malisho.

SIFA
a) nibwa mwenye nguvu sana
b) anahimili mazingira magumu
c) Ana akili na anafundishika kirahisi
d) Ni mbwa alijaa utayari hasa aliyefundishwa.

Kwa hapa Tanzania wanapatikana kwa uchache sana na bei yako iko juu kiasi flani.
Mbwa mdogo wa miezi 2 bei inaanzia 900k
img_DogBreed-Belgian-Malinois.jpeg

chaliifrancisco
 
Back
Top Bottom