Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Msaada kidogo japo nje ya mada.

Mimi natafuta ile mijipaka mikubwa ya kizungu mwenye kujua wanapatikana wapi na kwa bei gani aniambie tafadhali.

Natanguliza shukrani
Mkuu, umenichekesha eeti "Mijipaka"
Kwa mtaa ukishasema jipaka.? Basii kuku wakae mbali na kama una nyiwa utakula loss kila siku...
 
huyu jamaa asijekuwa mganga teh
Mkuu, umenichekesha eeti "Mijipaka"
Kwa mtaa ukishasema jipaka.? Basii kuku wakae mbali na kama una nyiwa utakula loss kila siku...
 
German Shepherd bora sio lazima awe tan and black kama unavyodai, in fact German shepherd wa kwanza hakuwa na rangi hiyo alikuwa sable.

Nchi za wenzetu wanapenda tan and black au red and black color kwa ajili ya show line competition, kwa ajili ya ulinzi unaweza pick rangi nyingine, colour haimfanyi mbwa akawa mbegu mbaya.

German Shepherd wanaweza kuja na rangi kadhaa isipokuwa ikitokea akawa white au blue izo rangi zinkuwa considered fault.
 
@alibi asante kwa elimu
 
Nina swali ndugu mimi uwezo wa kununua hao GS siko nao so nilikua na jirani yangu ana mbwa hawa wa kizungu ila sijui wanaitwaje akampa mimba kijibwa koko changu kikazaa vitoto viwili moja kati ya vitoto kimefanana sana na baba ake😂😂 swali langu huyu dogo mwenye mfanano na dingi ake nikimtafutia boy wa GS akazaa nae vijibwa vinaweza toka kama huyo gs??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…