Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Nilipewa puppy na rafiki yangu ili nimfuge sasa ile nimefika nae home usiku akalala

Asubuhi naamka hayupo kumbe mdogo wangu aliacha geti wazi puppy akatoka watu wakapita nae [emoji3]
 
Pole sana, ungemjengea banda
 
Turkish kengal Dog ni ma mbwa makubwa sana alafu ni hatari sana....
images.jpeg-4.jpg
images.jpeg-1.jpg
images.jpeg-3.jpg
images.jpeg-2.jpg
images.jpeg.jpg
images.jpeg-5.jpg
images.jpeg-2.jpg
 
Back
Top Bottom