Inategemea na ushawishi aliyo upata toka kwa mtendaji..wanaume nyie walaghai sana.Huyo mwanamke balaa, ana miezi mitatu ofisini tayari anagegedwa ofisini? Angemaliza mwaka nadhani vidume vyote vingegawiwa. Endele na mrejesho ili tujue mwisho wa polisi na kazini na majumbani kwao. Michepuko siyo dili.
Hahahaha! Sawa mtembea majalalani aka kiotezi..mfupa uliomshinda fisi wewe utauweza?Huyo aliyeachika kama atahitaji mfariji nipo kwaajili yake.
Huyo atakua mwanamke mwema kabisa mbeleni maana kesha umwa na nyoka....uzuri bosi wenu hakuondoka nayo na pia mmewe zilipenda hajailock....namkaribisha kwa mikono miwili maana hajaua na huenda alitobgozwa tu.
Pia lazima atakua mzuri au mtam ndio maana anagombaniwa
ukienda kumuona hapo hosipitali, tafadhari nenda kamwambie kuna mfariji toka jf anakusubiri kwa hamu zote kama ataridhia kuja kuungana na mie tumalizie maisha yaliyobaki.