Wafukuzwa kazi baada ya kufumwa wakifanya mapenzi ofisini

Wafukuzwa kazi baada ya kufumwa wakifanya mapenzi ofisini

Duuuuuuuu hapo ni aibu kubwa sana aisee ila watulize akili yataisha tu
 
We mwanamke kwa umbea tu hujambo lol, yani umefatilia ya kule na huku umeamua kutuletea mtandaoni, ok sawa basi...!
 
Hili tukio mbona linasisimua sana LAKINI SIJALIONA KWENYE MAGAZETI YA SHIGONGO????


INAWEZAKANA VP SHIGONGO KUPITWA NA STORI HIVI HAPA MJINI??? moniccca
 
Huyo mwanamke balaa, ana miezi mitatu ofisini tayari anagegedwa ofisini? Angemaliza mwaka nadhani vidume vyote vingegawiwa. Endele na mrejesho ili tujue mwisho wa polisi na kazini na majumbani kwao. Michepuko siyo dili.
Inategemea na ushawishi aliyo upata toka kwa mtendaji..wanaume nyie walaghai sana.
 
Ushauri mzuri sana lakini ofisini ni sehemu ya kazi sio kufanya mapenzi wangemaliza tu kazi then wakatafuta gest house wakafanya yao na hivi vimini wanawake wanavyovaa ndio kabisa ndoa hazitakua salama
Ndiyo kilichopo waponza
 
mmmmmmh.....nitaoa kwel kwa staili hii.....yaya gete
Kwann usioe best? Sio wote wako hivyo, ukitulia utampata wa kufanana nawe. Lkn usitegemee kupata aliye tulia wakati wewe ni kiruka njia.
 
Huyo aliyeachika kama atahitaji mfariji nipo kwaajili yake.

Huyo atakua mwanamke mwema kabisa mbeleni maana kesha umwa na nyoka....uzuri bosi wenu hakuondoka nayo na pia mmewe zilipenda hajailock....namkaribisha kwa mikono miwili maana hajaua na huenda alitobgozwa tu.

Pia lazima atakua mzuri au mtam ndio maana anagombaniwa

ukienda kumuona hapo hosipitali, tafadhari nenda kamwambie kuna mfariji toka jf anakusubiri kwa hamu zote kama ataridhia kuja kuungana na mie tumalizie maisha yaliyobaki.
Hahahaha! Sawa mtembea majalalani aka kiotezi..mfupa uliomshinda fisi wewe utauweza?
 
We mwanamke kwa umbea tu hujambo lol, yani umefatilia ya kule na huku umeamua kutuletea mtandaoni, ok sawa basi...!
Bila wambea ungepata wapi habari, kila siku unakimbilia TV kuangalia hbr bila wambea ungepata wapi fursa hiyo?
 
Hili tukio mbona linasisimua sana LAKINI SIJALIONA KWENYE MAGAZETI YA SHIGONGO????


INAWEZAKANA VP SHIGONGO KUPITWA NA STORI HIVI HAPA MJINI??? moniccca
Hilo swali ungemuuliza shigongo..unanichelewesha mi nataka niwahi salon nikapambwe niolewe na Mr. Bh
 
Back
Top Bottom