Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ndio Tumaini la Wanyonge ,ndiye Kimbilio la waliokata Tamaa ,ndio nuru ya Wanyonge,ndiye kiongozi aliyebeba Matumaini ya watu na ndiye Moyo Wa Taifa hili.
Kila apitapo na kutua watu humkimbilia na kumlilia . Kwa sababu kila mmoja mwenye shida ,taabu ,mateso ,kero , changamoto na huzuni anatambua ya kuwa RAIS Samia ni Mama mwenye Moyo wa Upendo na Huruma. Kila mmoja anatambua ya kuwa RAIS Samia ni kiongozi Msikivu na asiye Bagua mtu.
Ndio Maana hukimbiliwa na wengi na kuliliwa na wengi wenye shida ili wapate kusaidiwa. Kwa sababu Rais wetu ni Kiongozi mwenye Hofu ya Mungu na Mcha Mungu.ni Kiongozi Mwenye Mungu ndani yake . Ndio Maana kwa huruma zake na upendo wake na ukarimu wake wengi waliokuwa wamekata Tamaa wamejikuta wakipata tabasamu ,furaha na matumaini mapya pale walipoonana na Rais wetu Mpendwa.
Ndio Maana kwa kutambua hili Wafungwa wa Ukonga wamemlilia na kumpigia Magoti Rais wetu wakiomba huruma yake ili waweze kutolewa magerezani. Maana wametumikia vifungo vyao kwa miaka ya kutosha ,wamejifunza mengi ,wamebadilika kitabia na wapo tayari kuwa Raia wema na kuwa mfano wa kuigwa kwa jamii inayowazunguka . Wapo tayari kuwa walimu kwa wengine .
Rais wetu kama ilivyo kawaida yake ya unyenyekevu,huruma na upendo amewasikiliza na kupokea kilio hicho cha wafungwa. Ikumbukwe ya kuwa hata hivyo Rais wetu Mpendwa amekuwa akitoa msamaha kwa wafungwa mbalimbali wanaoonekana kubadilika kitabia na kuwa watu wema. Amefanya hivyo kila mwaka na hata mwaka huu amefanya hivyo pia . Ataendelea kufanya hivyo kwa wafungwa wengine pasipo kuchoka ilimradi tu mtu aonekane kubadilika kitabia na kuwa mtu mwema kwa jamii.
Tuendelee kumuombea Rais wetu Mpendwa ili Mungu aendelee kumjalia Maisha marefu na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.