Uwe na adabu na uache kuropoka ropoka Hovyo hovyo hapa. Mbona wewe hujauwawaHizi drama za huyu mama kuhusu wafungwa hazitamsaidia! 😁
Analazimisha kuonekana ana huruma, wakati ameua watu na kuzika maiti zao!
Uwe na adabu na uache kuropoka ropoka Hovyo hovyo hapa. Mbona wewe hujauwawaHizi drama za huyu mama kuhusu wafungwa hazitamsaidia! 😁
Analazimisha kuonekana ana huruma, wakati ameua watu na kuzika maiti zao!
Uwe na adabu na uache kuropoka ropoka Hovyo hovyo hapa. Mbona wewe hujauwawa
Yaani wewe jamaa ni shetani halisi ktk umbo na sura ya binadamu maana imeandikwa mahali katika Biblia takatifu - Neno la Mungu:Rais Samia ndio Tumaini la Wanyonge ,ndiye Kimbilio la waliokata Tamaa ,ndio nuru ya Wanyonge,ndiye kiongozi aliyebeba Matumaini ya watu na ndiye Moyo Wa Taifa hili.
Huna akili kabisa wewe ewe uliyekosa adabu na malezi mazuri ya wazazi wako. Umelaaniwa weweYaani wewe jamaa ni shetani halisi ktk umbo na sura ya binadamu maana imeandikwa mahali katika Biblia takatifu - Neno la Mungu:
2 Wakorintho 11:14-15 SUV
"......Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao..."
Kwa hakika kabisa mwisho wenu utakuwa sawasawa na kazi yenu ya mauaji, kuua wanadamu wenzenu.
You're the accomplice of her crimes afainst humanity.
Kwa hakika kabisa mwisho wenu nyote wapigia debe uhalifu na yeye utakuwa sawasawa na kazi yenu ya mauaji, kuua wanadamu wenzenu.
Ndiyo kwa sababu: Mnamtetea kuhani wenu wa kuzimu, malkia wa kuzimu - Jezebel a.k.a Iddi Amin mama Samuya kwa kuwa mnafanana kwa sura, tabia na mission yenu ambayo ni kuangamiza uhai wa mwanadamu na kwa hiyo mmekuwa adui wa Mungu Yehova aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo!!
Kiongozi binadamu anayethamini utu wa binadamu mwenye sifa hizi unazozimwaga hapa anaweza vipi kuua maelfu ya wananchi wake anaojidai kuwaongoza ili tu yeye atwae madaraka hayo ya uongozi!!???
Au unajifanya mwendawazimu kuwa hujui ya kwamba mauji ya 29/10 - 4/11/2025 yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama (Polisi, JWTZ, UWT, KMKM na majeshi mercenaries toka Uganda, Rwanda na Burundi yalifanyika chini ya utawala wake na amri yake akiwa kama Rais na Amiri jeshi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama!???
Mnafikiri wananchi ni wajinga sio?
Mnafikiri mtamsaidia kuikwepa hukumu ya haki dhidi yake na accomplices wake ukiwemo wewe Lucas Mwashambwa?
No way....!!
Mbona wewe Hujafa.Kusema kuwa huyo mama kaua watu ni kukosa adabu na kuropoka?
Haya basi, hakuua watu mkuu. Watu walikufa wenyewe.
KWa hiyo mna uchu sana na damu yangu?Mbona wewe hujauwawa?
Wewe haupaswi kuwepo DunianiKWa hiyo mna uchu sana na damu yangu?
Niondoe haraka sana, maana you have a license to killWewe haupaswi kuwepo Duniani
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ndio Tumaini la Wanyonge ,ndiye Kimbilio la waliokata Tamaa ,ndio nuru ya Wanyonge,ndiye kiongozi aliyebeba Matumaini ya watu na ndiye Moyo Wa Taifa hili.
Kila apitapo na kutua watu humkimbilia na kumlilia . Kwa sababu kila mmoja mwenye shida ,taabu ,mateso ,kero , changamoto na huzuni anatambua ya kuwa RAIS Samia ni Mama mwenye Moyo wa Upendo na Huruma. Kila mmoja anatambua ya kuwa RAIS Samia ni kiongozi Msikivu na asiye Bagua mtu.
Ndio Maana hukimbiliwa na wengi na kuliliwa na wengi wenye shida ili wapate kusaidiwa. Kwa sababu Rais wetu ni Kiongozi mwenye Hofu ya Mungu na Mcha Mungu.ni Kiongozi Mwenye Mungu ndani yake . Ndio Maana kwa huruma zake na upendo wake na ukarimu wake wengi waliokuwa wamekata Tamaa wamejikuta wakipata tabasamu ,furaha na matumaini mapya pale walipoonana na Rais wetu Mpendwa.
Ndio Maana kwa kutambua hili Wafungwa wa Ukonga wamemlilia na kumpigia Magoti Rais wetu wakiomba huruma yake ili waweze kutolewa magerezani. Maana wametumikia vifungo vyao kwa miaka ya kutosha ,wamejifunza mengi ,wamebadilika kitabia na wapo tayari kuwa Raia wema na kuwa mfano wa kuigwa kwa jamii inayowazunguka . Wapo tayari kuwa walimu kwa wengine .
Rais wetu kama ilivyo kawaida yake ya unyenyekevu,huruma na upendo amewasikiliza na kupokea kilio hicho cha wafungwa. Ikumbukwe ya kuwa hata hivyo Rais wetu Mpendwa amekuwa akitoa msamaha kwa wafungwa mbalimbali wanaoonekana kubadilika kitabia na kuwa watu wema. Amefanya hivyo kila mwaka na hata mwaka huu amefanya hivyo pia . Ataendelea kufanya hivyo kwa wafungwa wengine pasipo kuchoka ilimradi tu mtu aonekane kubadilika kitabia na kuwa mtu mwema kwa jamii.
Tuendelee kumuombea Rais wetu Mpendwa ili Mungu aendelee kumjalia Maisha marefu na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3586084