Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Kwa hakika tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu. Ni zawadi kwa Taifa letu.Mama ni mwenye huruma ❤️
Mimi naongea ukweli na siyo kusifia tu.kwa hizo sifa zake usizozitaja hapo kwenye paragraph ya 1 & 2, zinamstahili Mungu pekee na siyo mwanadamu.
weka sifa kiasi, ukizidisha sana inakuwa kejeli.
Unahangaika kama kuku anayetaka kutaga kwa mara ya kwanza.
Mimi siyo Chawa ndugu yangu. Na kama kusema ukweli ndio uchawa basi acha niwe Chawa tuChawa
Wewe unayetunga nyuzi za kumsifia ibilisi kila baada ya saa moja ndiye unahangaika halafu mtu mwenyewe hana muda na Watanganyika hasa wagalatia wasiotahiriwa kama wewe.Unahangaika kama kuku anayetaka kutaga kwa mara ya kwanza.
Mimi siyo Chawa ndugu yangu. Na kama kusema ukweli ndio uchawa basi acha niwe Chawa tu
Laana inakusumbua DogoView attachment 3586088
Tena chawa jike
Wewe uliyejibadi matumizi kwa kutumika kinyume cha maumbile ndiye umelaaniwa.Laana inakusumbua Dogo
Na mbona akaua maelfu ya watanganyika??!!.Mama ni mwenye huruma ❤️
Acha ujinga wako hapa wewe. Mbona wewe hujauwawa?Na mbona akaua maelfu ya watanganyika??!!.
CcM ndiye adui namba moja wa haki. CAG reports zinatoka kila mwaka, wezi hawa wa mabilioni, ambao ni wateule wa chama kile, hawakamatwi, wala hawafungwi kwa kuwa hela ukiiba, unamgawia bosi wako, bosi wako naye anamgawia bosi wake, hali hiyo inaenda hadi juu.Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ndio Tumaini la Wanyonge ,ndiye Kimbilio la waliokata Tamaa ,ndio nuru ya Wanyonge,ndiye kiongozi aliyebeba Matumaini ya watu na ndiye Moyo Wa Taifa hili.
Kila apitapo na kutua watu humkimbilia na kumlilia . Kwa sababu kila mmoja mwenye shida ,taabu ,mateso ,kero , changamoto na huzuni anatambua ya kuwa RAIS Samia ni Mama mwenye Moyo wa Upendo na Huruma. Kila mmoja anatambua ya kuwa RAIS Samia ni kiongozi Msikivu na asiye Bagua mtu.
Ndio Maana hukimbiliwa na wengi na kuliliwa na wengi wenye shida ili wapate kusaidiwa. Kwa sababu Rais wetu ni Kiongozi mwenye Hofu ya Mungu na Mcha Mungu.ni Kiongozi Mwenye Mungu ndani yake . Ndio Maana kwa huruma zake na upendo wake na ukarimu wake wengi waliokuwa wamekata Tamaa wamejikuta wakipata tabasamu ,furaha na matumaini mapya pale walipoonana na Rais wetu Mpendwa.
Ndio Maana kwa kutambua hili Wafungwa wa Ukonga wamemlilia na kumpigia Magoti Rais wetu wakiomba huruma yake ili waweze kutolewa magerezani. Maana wametumikia vifungo vyao kwa miaka ya kutosha ,wamejifunza mengi ,wamebadilika kitabia na wapo tayari kuwa Raia wema na kuwa mfano wa kuigwa kwa jamii inayowazunguka . Wapo tayari kuwa walimu kwa wengine .
Rais wetu kama ilivyo kawaida yake ya unyenyekevu,huruma na upendo amewasikiliza na kupokea kilio hicho cha wafungwa. Ikumbukwe ya kuwa hata hivyo Rais wetu Mpendwa amekuwa akitoa msamaha kwa wafungwa mbalimbali wanaoonekana kubadilika kitabia na kuwa watu wema. Amefanya hivyo kila mwaka na hata mwaka huu amefanya hivyo pia . Ataendelea kufanya hivyo kwa wafungwa wengine pasipo kuchoka ilimradi tu mtu aonekane kubadilika kitabia na kuwa mtu mwema kwa jamii.
Tuendelee kumuombea Rais wetu Mpendwa ili Mungu aendelee kumjalia Maisha marefu na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3586084
Kaua makumi ya maelfu. Alitamani aue vijana wote nchini, lakini kuanzia kuumbwa kwa ulimwengu, hamna ambaye alishawahi kuua watu woteAcha ujinga wako hapa wewe. Mbona wewe hujauwawa?
CCM ndio chama kilichobeba Matumaini ya watanzania. Ripoti ya CAG ikitoka kinachofuata ni wahusika kujibu hoja zilizoibuliwa na CAG na siyo kila mtu ni fisadi aliyetajwa kwenye ripoti. Mengine yanakuwa ni masuala ya kikanuni tu na miongozoCcM ndiye adui namba moja wa haki. CAG reports zinatoka kila mwaka, wezi hawa wa mabilioni, ambao ni wateule wa chama kile, hawakamatwi, wala hawafungwi kwa kuwa hela ukiiba, unamgawia bosi wako, bosi wako naye anamgawia bosi wake, hali hiyo inaenda hadi juu.
Ndio naana wakaambiwa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Mbona wewe hujauwawa?Kaua makumi ya maelfu. Alitamani aue vijana wote nchini, lakini kuanzia kuumbwa kwa ulimwengu, hamna ambaye alishawahi kuua watu wote
Amkantoka ndotoni mkuu, mama Samia hajawahi hata kuua nzi!Na mbona akaua maelfu ya watanganyika??!!.