Wafungwa Wamlilia Na Kumpigia Magoti Rais Samia Ili Awaonee Huruma

Hizi drama za huyu mama kuhusu wafungwa hazitamsaidia! 😁
Analazimisha kuonekana ana huruma, wakati ameua watu na kuzika maiti zao!
 
Hizi drama za huyu mama kuhusu wafungwa hazitamsaidia! 😁
Analazimisha kuonekana ana huruma, wakati ameua watu na kuzika maiti zao!
Uwe na adabu na uache kuropoka ropoka Hovyo hovyo hapa. Mbona wewe hujauwawa
 
Hizi drama za huyu mama kuhusu wafungwa hazitamsaidia! 😁
Analazimisha kuonekana ana huruma, wakati ameua watu na kuzika maiti zao!
Uwe na adabu na uache kuropoka ropoka Hovyo hovyo hapa. Mbona wewe hujauwawa
 
Rais Samia ndio Tumaini la Wanyonge ,ndiye Kimbilio la waliokata Tamaa ,ndio nuru ya Wanyonge,ndiye kiongozi aliyebeba Matumaini ya watu na ndiye Moyo Wa Taifa hili.
Yaani wewe jamaa ni shetani halisi ktk umbo na sura ya binadamu maana imeandikwa mahali katika Biblia takatifu - Neno la Mungu:

2 Wakorintho 11:14-15 SUV
"......Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao..."​

Kwa hakika kabisa mwisho wenu utakuwa sawasawa na kazi yenu ya mauaji, kuua wanadamu wenzenu.

You're the accomplice of her crimes afainst humanity.
Kwa hakika kabisa mwisho wenu nyote wapigia debe uhalifu na yeye utakuwa sawasawa na kazi yenu ya mauaji, kuua wanadamu wenzenu.

Ndiyo kwa sababu: Mnamtetea kuhani wenu wa kuzimu, malkia wa kuzimu - Jezebel a.k.a Iddi Amin mama Samuya kwa kuwa mnafanana kwa sura, tabia na mission yenu ambayo ni kuangamiza uhai wa mwanadamu na kwa hiyo mmekuwa adui wa Mungu Yehova aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo!!

Kiongozi binadamu anayethamini utu wa binadamu mwenye sifa hizi unazozimwaga hapa anaweza vipi kuua maelfu ya wananchi wake anaojidai kuwaongoza ili tu yeye atwae madaraka hayo ya uongozi!!???

Au unajifanya mwendawazimu kuwa hujui ya kwamba mauji ya 29/10 - 4/11/2025 yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama (Polisi, JWTZ, UWT, KMKM na majeshi mercenaries toka Uganda, Rwanda na Burundi yalifanyika chini ya utawala wake na amri yake akiwa kama Rais na Amiri jeshi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama!???

Mnafikiri wananchi ni wajinga sio?

Mnafikiri mtamsaidia kuikwepa hukumu ya haki dhidi yake na accomplices wake ukiwemo wewe Lucas Mwashambwa?

No way....!!
 
Huna akili kabisa wewe ewe uliyekosa adabu na malezi mazuri ya wazazi wako. Umelaaniwa wewe
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…