Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjomba uchawi upo usifanye masihara wewe hujapatwa ukijiona unakataa sana kua uchawi haupo unashika bango unawaambia watu hakuna uchawi jichunguze vizuri unaweza ukawa wewe ndio mchawi mwenyewe unashirikiana na wachawi bila kujijua kua wewe pia ni mwanachama waoKama Kuna wananchi wanaamini upuuzi kama huu,hiyo jamii bsdo Ina watu wajinga,wasio na elimu,na mafukara wa kipato.
Huwezi kusikia upuuzi kama huu unatokea Arusha na Kilimanjaro.
Mtafute magician [emoji145] [Youtube, Insta na Fb] anajiita #Imadmagician#. Halafu ulete logical explanation ya kitu anachokifanya.Kama Kuna wananchi wanaamini upuuzi kama huu,hiyo jamii bsdo Ina watu wajinga,wasio na elimu,na mafukara wa kipato.
Huwezi kusikia upuuzi kama huu unatokea Arusha na Kilimanjaro.
Ungeweka vizuri bila kupepesa macho, ni matokeo ya serikali hii ya hovyo ya CCM.Ni matokeo ya ujinga na viongozi fisadi waganga njaa. Ni hila viongozi wa kijiji kutaka kula hela kiujanja. Ujinga ni taabu tupu. Huku wanazuka mapastor wezi, huku wanazuka waganga wezi..ni balaa kila upande kwa mwananchi.