Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
Hawapingani, wanazuga tuwakuu hebu tusaidiane.
waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani
kwanini wanapingana
mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife
cc rakims
ccmshanajr
walker water
😆 😆 mechi ya kirafikiUsikute wanacheza mechi za kirafiki ili kujiimarisha kimbinu na uwezo.
umenifungua akili mkuuUkienda Kwa mganga, mchawi Huwa anampigia simu kichawi, wanajadiliana,
Ni kama tu biashara, ukipata mteja akaulizia Kisha akaondoka kwenda duka la Jirani, unampigia Jirani Ili terms ulizompa mteja zisibadilike.
Ukitupiwa jini Moja na mchawi, mganga atakuongezea mengine Saba ya kulituliza Hilo Moja Kwa muda, baadae utapata shida mara Saba ya uliyopata mwanzo, au anakuweka kwenye mikataba itakayokufuata Hadi vizazi vijavyo Ili muendelee Kutoa sadaka na kuyaabudu mashetani.
Kwa Mungu ndipo pazuri, Pana Kila kitu.
Amen
kumbe unaweza kwenda kutafuta tiba, ukatuliza tu maumivu kama kumeza panadolUfalme wao pia una ranks....
Kinachofanyika ukienda anaangalia hayo makitu uliyonayo km Yana kiwango Cha chini kuliko aliyonayo yeye ,akiona hizo spirit zinazokusumbua ziko chini anayanyanazisha tu Kwa kukuwekea yenye uwezo zaidi Ili Yale uliyonayo yasikusumbue.....
Ndo maana kuna wengine ukienda anaangalia, utasikia hii siwezi nenda sehem Fulani,ujue yamemzidi kiwango 😅
Wengine sikuhizi hawafichi akichungulia akiona huu mziki mnene anakwambia katafute wale Wana maombi watakusaidia....(Nina watu washaambiwa hivyo baada ya kuhangaika ,tabora zenj huko😅)
wakuu hebu tusaidiane.
waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani
kwanini wanapingana
mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife
cc rakims
ccmshanajr
walker water
Wote wanatumia, ila viwango vinatofautiana.umenifungua akili mkuu
ila niulize kitu. waganga wote wanatumia majini?
aiseeshetani ni sifa sio kiumbe.
Mwenye ushetani ndio shetani mwenyewe huyo.
Shetani ni title, na ni kiumbe Cha kiroho pia.shetani ni sifa sio kiumbe.
Mwenye ushetani ndio shetani mwenyewe huyo.
Kwa Mungu wapi kwa sababu tunasikia tuhuma za baadhi ya manabii hutumia nguvu za giza kama source ya nguvu zao katika kutenda miujiza.Ukienda Kwa mganga, mchawi Huwa anampigia simu kichawi, wanajadiliana,
Ni kama tu biashara, ukipata mteja akaulizia Kisha akaondoka kwenda duka la Jirani, unampigia Jirani Ili terms ulizompa mteja zisibadilike.
Ukitupiwa jini Moja na mchawi, mganga atakuongezea mengine Saba ya kulituliza Hilo Moja Kwa muda, baadae utapata shida mara Saba ya uliyopata mwanzo, au anakuweka kwenye mikataba itakayokufuata Hadi vizazi vijavyo Ili muendelee Kutoa sadaka na kuyaabudu mashetani.
Kwa Mungu ndipo pazuri, Pana Kila kitu.
Amen
Walokole wahaheshimika sana huko katika medani za Ulimwengu wa Roho.Ufalme wao pia una ranks....
Kinachofanyika ukienda anaangalia hayo makitu uliyonayo km Yana kiwango Cha chini kuliko aliyonayo yeye ,akiona hizo spirit zinazokusumbua ziko chini anayanyanazisha tu Kwa kukuwekea yenye uwezo zaidi Ili Yale uliyonayo yasikusumbue.....
Ndo maana kuna wengine ukienda anaangalia, utasikia hii siwezi nenda sehem Fulani,ujue yamemzidi kiwango 😅
Wengine sikuhizi hawafichi akichungulia akiona huu mziki mnene anakwambia katafute wale Wana maombi watakusaidia....(Nina watu washaambiwa hivyo baada ya kuhangaika ,tabora zenj huko😅)
Amini upendavyo, lakini amini kuwa shetani ni mtu mwenyewe mwenye sifa hiyo. Hakuna kiumbe cha tofauti.Shetani ni title, na ni kiumbe Cha kiroho pia.
Yale yale kwa maana ipi ya asili yao au tabia zao?Wote wanatumia, ila viwango vinatofautiana.
Kuna majini, mapepo, Mizimu na mashetani,
Ni Yale Yale lakini katika levels tofauti.