20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Ameeen.mkuu umemalizia vizuri
Mungu ndio true healer and savior
ubarikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameeen.mkuu umemalizia vizuri
Mungu ndio true healer and savior
ubarikiwe
Keshashiba zake ubwabwa anatamka lolote tu huyoKwa maana kwamba mtu unaweza kwenda kwa mganga kwa kutaka kumroga mtu afe na akafa kweli au awe chizi awe chizi na kweli akawa chizi huwa ni mind game tu hatujajua?
Yeah ipo tofauti. Mganga maana yake ni tabibu, Doctor. Hao matabibu wanatoa tiba kwa mtindo tofauti tofauti.Hivi kuna tofauti kati ya mganga wa tiba za asili na mganga wa kienyeji?
Yes mkuukumbe unaweza kwenda kutafuta tiba, ukatuliza tu maumivu kama kumeza panadol
Ungesema pia kuna magonjwa ya kibaolojia na magonjwa ya kichawi.Yeah ipo tofauti. Mganga maana yake ni tabibu, Doctor. Hao matabibu wanatoa tiba kwa mtindo tofauti tofauti.
1.Wale waliosomea, MD na wanatumia vifaa na njia zinazo kubalika na mifumo, ktk mitaala mbalimbali.. Kumbuka Tiba inayotolewa humu yaweza kuwa ni Extractions au mavuno ya vitu vya asili viliwekwa ktk dosage na mtindo mbalimbali ya kitaalamu, chemikali za kutengenez, mionzi n.k
2. Kuna wale wa asili, tiba mbadala. Hawa sasa wengi wanatumia elimu walizo jifunza kutoka ktk tamaduni, kuwa miziz flan au gome fulani au njia fulani inaweza kutibu kitu fulani. Hao ukifatilia dawa zao na ukizichek pia sayansi inaweza thibitisha. Wanaweza kukutaka ukapimwe kisha uende kwao ukiwa na hakika na ugonjwa gani. Tiba zao sio za kiimani,ingawa kuna wengine wanaongozw na imani,lakin ukifatilia dawa zao unawez pata Uthibitisho wa kisayansi..
3. Kuna kundi hili la mwisho, ambalo tiba zina ambatana na imani, vipimo vya ugonjwa ni ramli, tunguri. Tiba zao ni imani, huamini sana ktk chanzo cha magonjwa kuwa ni nguvu za giza . Humu pia wanachangany na mifumo ya tiba ya number mbili. Ila vyanzo vya kujua shida, ugonjwa hadi tiba yatokana Mapepo ya utambuzi.
Unaumwa kichwa, unachanjwa Chale,unapakwa dawa au unafukizwa wanasema umepona . Na unaondoka umepona kulingana imani yako , lakin ndio kuna kukamatwa nafsi yako.
Yeah, kama umesema yatosha kaka. Umeweka pale nilipo sahau.Ungesema pia kuna magonjwa ya kibaolojia na magonjwa ya kichawi.
Hatari sana sweetheart...
Waganga wa jadi;wakuu hebu tusaidiane.
waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani
kwanini wanapingana
mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife
cc rakims
ccmshanajr
walker water