DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Unaweza ukatoa mifano ya uhalisia kwenye hayo uliyoeleza?
Naweza Ila nipo busy Sana , labda jioni nikiwa free unitag Kama haujaelewa vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukatoa mifano ya uhalisia kwenye hayo uliyoeleza?
Hakuna ulazima wa kutaka kila mtu afate mawazo yako eti kisa una Roho Mtakatifu.Naamua kutokukujubu Ili niwafahamishe wasio na ufahamu kuliko kukujibu unayenijaribu.
Nimesema kwamba kuna magonjwa yanajulikana hayana dawa ila kwenye mitishamba hayo magonjwa hutibika, kinachofanya iendelee kusemwa hakuna dawa za hayo magonjwa ni kutokuwepo uthibitisho wa kisayansi kwa hiyo mitishamba kutibu hayo magonjwa ndio maana inabaki kutambulika hakuna dawa za hayo magonjwa.Nitishamba si uchawi.
Usiweke mambo ya mitishamba kama mfano kwenye habari ya uchawi.
Mitishamba ina chemical compositions ambazo zinaweza kuchunguzwa na kuthibitishwakisayansi.
Uchawi unathibitishwaje? Unapimwa kwa kipimo gani?
mi nasema wapoWewe unasema hawapo?
Issue sio kuelewa bali kupata uhalisia wa unachokieleza.Naweza Ila nipo busy Sana , labda jioni nikiwa free unitag Kama haujaelewa vizuri.
Mitishamba kukosa uthibitisho wa kisayansi inawezekana ni kwa sababu hatujajua tu kufanya test nzuri ya chemical za mitishamba hiyo.Nimesema kwamba kuna magonjwa yanajulikana hayana dawa ila kwenye mitishamba hayo magonjwa hutibika, kinachofanya iendelee kusemwa hakuna dawa za hayo magonjwa ni kutokuwepo uthibitisho wa kisayansi kwa hiyo mitishamba kutibu hayo magonjwa ndio maana inabaki kutambulika hakuna dawa za hayo magonjwa.
Kwahiyo unakuta dawa zipo (mitishamba) ila hakuna uthibitisho wa kisayansi.
Ubaya wake hao huwa hawajishughulishi kutaka kujua ukweli wao washaweka msimamo wao kisha wanaishia kudai uthibitisho basi.tukupeleke kwa mtu anayejiita ni mganga athibitishe au?
Sasa waambie wanitafute waniloge. Mimi nakaa New York City.mi nasema wapo
Issue sio kuelewa bali kupata uhalisia wa unachokieleza.
New York asilimia kubwa wamelogwa tayari.😀Sasa waambie wanitafute waniloge. Mimi nakaa New York City.
Mkuu umekuja na kitu ambacho ni tofauti na maarifa na experience za watu wengine humu ndio maana nikasema hivyo.Uhalisia UPO katika subjective na sio objective , Mimi nimezungumza kupitia maarifa niliyonayo na Experience zangu na Familia na n.k
Unapozungumzia uchawi huwezi kujikita katika objective moja kwa moja Ila unajikita katika subjective na uzoefu wako.
Na hii katika nyanja zote za spiritually zipo hivyo.
Ila nasema ikiwa MTU ataendelea kulogwa au kuogopa uchawi atakuwa anakosea Sana na yupo wrong na hajui how to play this game of mind.
Kwanini? mkuuuh! We nae ni mkorofi...
Nakwambia hivi, Hakuna kiumbe kinachoitwa shetani.Wanaosema shetani hayupo, ndio mashetani wenyewe.
Hakuna kiumbe kinachoitwa shetani.Matapeli kwa maana ipi?
Niloge na mimi nishindwe kupost hapa JF tuhakikishe uchawi upo.New York asilimia kubwa wamelogwa tayari.😀
wakuu hebu tusaidiane.
waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani
kwanini wanapingana
mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife
cc rakims
ccmshanajr
walker water
yaani dunia ukitaka kujua vitu kwa upana wake, fanya majaribioUbaya wake hao huwa hawajishughulishi kutaka kujua ukweli wao washaweka msimamo wao kisha wanaishia kudai uthibitisho basi.