Huelewi wewe, ndo 8:18-20
Huyo simoni alikuwa mganga mwenye Pepo la utambuzi na ubaguzi, akiagua watu kichawi,
Alipoona watumishi wa Mungu wanaponya watu Kwa Roho Mtakatifu alidhani wale ni Waganga waliomzidi Cheo,
Akawaomba wampe karama hiyo Kwa kununua Kwa pesa. Watumishi walimkemea na kumtimua wakimwambia, KARAMA ya uponyaji wa Mungu,hainunuliwi Kwa pesa.
Yeyote anayeomba pesa kabla Ili akuombee ni WA UONGO. Anayesema mwenye malaria atoe 20,000 nimwombee, na mwenye ukimwi atoe Mil 20, huyo ni tapeli, agent wa kuzimu.
Umeelewa?