Hao wanaotumia nguvu za Giza madhabahuni ni agents wa kuzimu,Kwa Mungu wapi kwa sababu tunasikia tuhuma za baadhi ya manabii hutumia nguvu za giza kama source ya nguvu zao katika kutenda miujiza.
Ni sawa tu na mganga avue kaniki, avae sauti na kufungua Kanisa.
Mungu ameruhusu hayo maana yapo na yalishataniriwa katika maandiko.
Lakini, Manabii wa Kweli wapo, hawauzi miujiza, wamepewa karama Bure, wanatoa bure.
Ukienda Kwa nabii, anayetoza fee kumuona ni WA UONGO, ikiwa ana kashfa za kuzini na waumini, ni WA UONGO huyo. Nk nk
Mungu akusaidie kuwatofautosha.