Waganga wa kienyeji wanawafaidi sana wanawake

Waganga wa kienyeji wanawafaidi sana wanawake

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Ee bwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga, ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa, yeye ni ustadhi tu ila akajifanya eti ana majini hivyo akajipachika uganga wa kienyeji.

Sasa mimi mchongo mzima naujua kuwa jamaa ni tapeli tu, mara moja moja huwa namtembelea kwake nakuta kuna nyomi ya watu inahitaji huduma yake, sasa kuna wakt huwa ananipa kazi ya kumsaidia sasa jamaa huwa ananipa ishara kuwa ikiingia pisi kali ndani atazuga anaiambia majini yake au wazee kama ambavyo huwa anawaita wanamtaka huyo mrembo avue nguo ageuke nyuma kisha ainame, kweli na wanawake wengi huwa wanatii maagizo, basi wakigeuka sisi tunapeana tu ishara tunacheka..jamaa kwa kifupi anazifaidi sana papuchi kwa kuzitafuna na kuzishikashika kwa kigezo cha maelekezo ya majini.

Jamaa pia pesa anawapiga sana watu wanaokuja na matatizo yao, wale mbuzi au kuku wanaoletwa kwa ajili ya kafara, baada ya shughuli huwa anazuga eti kwenda kuwafukia
Ila kiuhalisia huwa anapika anawala.

Mambo ni mengi hii nchi.
 
Ebwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga,ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa,yeye ni ustadhi tu ila akajifanya eti ana majini hivyo akajipachika uganga wa kienyeji,sasa mimi mchongo mzima naujua kuwa jamaa ni tapeli tu,mara moja moja huwa namtembelea kwake nakuta kuna nyomi ya watu inahitaji huduma yake,sasa kuna wakt huwa ananipa kazi ya kumsaidia sasa jamaa huwa ananipa ishara kuwa ikiingia pisi kali ndani atazuga anaiambia majini yake au wazee kama ambavyo huwa anawaita wanamtaka huyo mrembo avue nguo ageuke nyuma kisha ainame,kweli na wanawake wengi huwa wanatii maagizo, basi wakigeuka sisi tunapeana tu ishara tunacheka..jamaa kwa kifupi anazifaidi sana papuchi kwa kuzitafuna na kuzishikashika kwa kigezo cha maelekezo ya majini..jamaa pia pesa anawapiga sana watu wanaokuja na matatizo yao,wale mbuzi au kuku wanaoletwa kwa ajili ya kafara ,baada ya shughuli huwa anazuga eti kwenda kuwafukia
Ila kiuhalisia huwa anapika anawala.
Mambo ni mengi hii nchi.
Hata mimi nina binamu yangu ambaye dada yake aliolewa na ustadh fulani anayejifanya mganga, sasa huyu binamu kuona shemeji yake anafaid pisi kali naye akaamua kubadilisha dini na kuwa sutadh na akaanza kujifanya mganga.
Akawa ili ajifanye anapandisha majini, anapiga kwanza bangi kupata confidence halafu eti hapo anabadili sauti eti ni wazee wameingia mwilini mwake ndiyo wanazungumza. alikuwa ananichekesha kweli
 
Papuchi ina kufaidi gani zaidi ya maradhi,mwambie huyo sangoma acheze kwa steps la sivyo na yeye ataenda muona daktari.
 
Mbona mwamposa anawaibia sana ila watu hawasikii mpk katengeneza bonge la kanisa

Hhhhh dah watu wanawatajirisha wengine wao wakibaki na umasikini
 
Back
Top Bottom