SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
BoraaUmejiandaa kutoa sadaka ya kujimaliza
BoraaUmejiandaa kutoa sadaka ya kujimaliza
Unatoa hadi nauli unarudi nyumbani unatembeaBoraa
Tumeletewa usaidizi usio. NamadharaUmejiandaa kutoa sadaka ya kujimaliza
Ile maana ya wajinga ndiyo wali wao!Ee bwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga, ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa, yeye ni ustadhi tu ila akajifanya eti ana majini hivyo akajipachika uganga wa kienyeji.
Sasa mimi mchongo mzima naujua kuwa jamaa ni tapeli tu, mara moja moja huwa namtembelea kwake nakuta kuna nyomi ya watu inahitaji huduma yake, sasa kuna wakt huwa ananipa kazi ya kumsaidia sasa jamaa huwa ananipa ishara kuwa ikiingia pisi kali ndani atazuga anaiambia majini yake au wazee kama ambavyo huwa anawaita wanamtaka huyo mrembo avue nguo ageuke nyuma kisha ainame, kweli na wanawake wengi huwa wanatii maagizo, basi wakigeuka sisi tunapeana tu ishara tunacheka..jamaa kwa kifupi anazifaidi sana papuchi kwa kuzitafuna na kuzishikashika kwa kigezo cha maelekezo ya majini.
Jamaa pia pesa anawapiga sana watu wanaokuja na matatizo yao, wale mbuzi au kuku wanaoletwa kwa ajili ya kafara, baada ya shughuli huwa anazuga eti kwenda kuwafukia
Ila kiuhalisia huwa anapika anawala.
Mambo ni mengi hii nchi.
Kila mtu anajua kwamba wanawake wengi wapumbavu wanaliwa na waganga wa kienyeji. Hao wanaoenda hata uwaambie nini watakwenda na wataliwa ila wanahama tu mganga mambo yao yasipofanikiwa. Ndo maana kiboko ya wamchawi hata leo akija watu watajaa tiu kumpa hela.Ee bwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga, ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa, yeye ni ustadhi tu ila akajifanya eti ana majini hivyo akajipachika uganga wa kienyeji.
Sasa mimi mchongo mzima naujua kuwa jamaa ni tapeli tu, mara moja moja huwa namtembelea kwake nakuta kuna nyomi ya watu inahitaji huduma yake, sasa kuna wakt huwa ananipa kazi ya kumsaidia sasa jamaa huwa ananipa ishara kuwa ikiingia pisi kali ndani atazuga anaiambia majini yake au wazee kama ambavyo huwa anawaita wanamtaka huyo mrembo avue nguo ageuke nyuma kisha ainame, kweli na wanawake wengi huwa wanatii maagizo, basi wakigeuka sisi tunapeana tu ishara tunacheka..jamaa kwa kifupi anazifaidi sana papuchi kwa kuzitafuna na kuzishikashika kwa kigezo cha maelekezo ya majini.
Jamaa pia pesa anawapiga sana watu wanaokuja na matatizo yao, wale mbuzi au kuku wanaoletwa kwa ajili ya kafara, baada ya shughuli huwa anazuga eti kwenda kuwafukia
Ila kiuhalisia huwa anapika anawala.
Mambo ni mengi hii nchi.
C ameshakuambia ni tapeliNi kinyume na taaluma ya uganga, ukifanya hivyo kama una karama ya uganga utoweka.
Wafanyao hivyo wengi huwa ni matapeli, kanuni ya uganga hairuhusu huo uchafu
Uliwahi kushikwa niniUongooooo!!!
Akileta picha yako umeinama papa vipi?Thibitisha
Wee acha hizoPicha ya mteja akiwa kainama
Wee Jumamosi rais wako atakuwa kwa mwamposaMbona mwamposa anawaibia sana ila watu hawasikii mpk katengeneza bonge la kanisa
Hhhhh dah watu wanawatajirisha wengine wao wakibaki na umasikini
😂😂😂Kuna mmoja yupo hapo Tabata sio mchezo! Ana karadio kake anakatumia kuongea na majini.
Haujambo saint, za siku nyingi.....Wee acha hizo