Transisco06
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 1,033
- 1,013
Wapi kutengeneza,na huo ndo mwisho wakeMbona mwamposa anawaibia sana ila watu hawasikii mpk katengeneza bonge la kanisa
Hhhhh dah watu wanawatajirisha wengine wao wakibaki na umasikini
Wapi kutengeneza,na huo ndo mwisho wakeMbona mwamposa anawaibia sana ila watu hawasikii mpk katengeneza bonge la kanisa
Hhhhh dah watu wanawatajirisha wengine wao wakibaki na umasikini
Kwani wanawake wenyewe Wana shida basi,hawana shida,wao wanapenda kuliwa uroda na wanapenda kweli sema tuu hawasemi watasema.siku sii nyingHivyo vihunzi vya matatizo ya uzazi wanawake huwa hawawezi kuvikwepa.
Na waganga wengi hutumia mwanya huo kama fursa.
Wanawalala sana wateja wao vyovyote wanapojisikia kufanya hivyo bila pingamizi lolote.
Uganga ni taaluma kama zingine,zipo aina nyingi za waganga hadi wa hospital ni waganga, uganga sio mbaya ubaya ni matumizi mabaya ya nguvu za kiganga kudhuru.Kwamba Mganga ni mtu Safi?🤣
Una. Uhakika?Kwani wanawake wenyewe Wana shida basi,hawana shida,wao wanapenda kuliwa uroda na wanapenda kweli sema tuu hawasemi watasema.siku sii nying
Nataka kukutumia message ntakupata ajeNingekuwa bado Kilingeni ningefafanua mengi
Wanasaka nini huko kwa wagangaWanawake wanapenda Sana Haya mambo ya kwenda kwa waganga.
Mtani samahani sana hivi uliwezaje kuacha?Ningekuwa bado Kilingeni ningefafanua mengi
Hii nchi ngumu sana aiseeEe bwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga, ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa, yeye ni ustadhi tu ila akajifanya eti ana majini hivyo akajipachika uganga wa kienyeji.
Sasa mimi mchongo mzima naujua kuwa jamaa ni tapeli tu, mara moja moja huwa namtembelea kwake nakuta kuna nyomi ya watu inahitaji huduma yake, sasa kuna wakt huwa ananipa kazi ya kumsaidia sasa jamaa huwa ananipa ishara kuwa ikiingia pisi kali ndani atazuga anaiambia majini yake au wazee kama ambavyo huwa anawaita wanamtaka huyo mrembo avue nguo ageuke nyuma kisha ainame, kweli na wanawake wengi huwa wanatii maagizo, basi wakigeuka sisi tunapeana tu ishara tunacheka..jamaa kwa kifupi anazifaidi sana papuchi kwa kuzitafuna na kuzishikashika kwa kigezo cha maelekezo ya majini.
Jamaa pia pesa anawapiga sana watu wanaokuja na matatizo yao, wale mbuzi au kuku wanaoletwa kwa ajili ya kafara, baada ya shughuli huwa anazuga eti kwenda kuwafukia
Ila kiuhalisia huwa anapika anawala.
Mambo ni mengi hii nchi.
Mkuu ikitokea wateja wanaomba uwape ushirikiano uwapeleke kwa huyo binamu yako wakapate na wao tiba mbadala je, upo teyari kutoa ushirikiano bila kujitetea ulikua unafurahisha genge mkuu?Ee bwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga, ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa, yeye ni ustadhi tu ila akajifanya eti ana majini hivyo akajipachika uganga wa kienyeji.
Sasa mimi mchongo mzima naujua kuwa jamaa ni tapeli tu, mara moja moja huwa namtembelea kwake nakuta kuna nyomi ya watu inahitaji huduma yake, sasa kuna wakt huwa ananipa kazi ya kumsaidia sasa jamaa huwa ananipa ishara kuwa ikiingia pisi kali ndani atazuga anaiambia majini yake au wazee kama ambavyo huwa anawaita wanamtaka huyo mrembo avue nguo ageuke nyuma kisha ainame, kweli na wanawake wengi huwa wanatii maagizo, basi wakigeuka sisi tunapeana tu ishara tunacheka..jamaa kwa kifupi anazifaidi sana papuchi kwa kuzitafuna na kuzishikashika kwa kigezo cha maelekezo ya majini.
Jamaa pia pesa anawapiga sana watu wanaokuja na matatizo yao, wale mbuzi au kuku wanaoletwa kwa ajili ya kafara, baada ya shughuli huwa anazuga eti kwenda kuwafukia
Ila kiuhalisia huwa anapika anawala.
Mambo ni mengi hii nchi.
🤣🤣🤣🤣Kuwa nawe mganga ili ufaidi papuchi.
Naona uganga ni rahisi kama ulivoelezea.
IndeedUongooooo!!!
🤣 Ndugu yenu alipona hakupona ?? Tuanzie hapo kwanzaMkuu sisi tulivyo mpeleka kaka yetu kwa yule mtaalamu mambo yalikuwa kama hivyo yaani huyo mtaalamu anafunikwa kaniki anapewa na udi anauvuta kisha sauti yake inabadilika anakuja marehemu baba yake anaongea kisambaa sijui kizigua kiswahili kidogo sana, ndiyo anayetoa maelezo yote na dawa sasa hapo mimi sijajua kama huyo naye ndiyo wale wale au lah!
🤣Kuokoka ndio utapigwa za uso mpaka ushangae