Waganga wa kienyeji wanawafaidi sana wanawake

Waganga wa kienyeji wanawafaidi sana wanawake

+ Upigaji Ndio itakuwa alikuwa yeye

Uganga wa Asili ukiukataa jiandae kuwa kituko Duniani au la Wana kuua kabisa Hakuna atakaye weza kukusaidia,

Bad enough Huo ugomvi hautoisha Hadi Kwa vizazi vyako
Kuna shangazi yangu R.I.P yalimpata aliyakubali baadaye wakampeleka kanisani kuombewa walimtia upofu na uwete hadi kifo
 
😁😁😁😁 Ilikuwaje Mzee !?
Kuna ndugu alikuwa anaumwa, watoto wake huyo ndugu wakaamua kwenda kwa mganga. Kufika kwa mganga wakaambiwa mgonjwa amerogwa na ndugu zake. Kuanzia hapo ikawa beef kati ya watoto wa huyo ndugu na ndugu wengine . Sasa tangu hapo hao ndugu hawaongei. Fck yuu waganga wote wagombanishi
 
Kuna shangazi yangu R.I.P yalimpata aliyakubali baadaye wakampeleka kanisani kuombewa walimtia upofu na uwete hadi kifo
Ndio walivyo hao Mzee yakikutaka ufanye kazi Yao ukizingua utajuta kuzaliwa Wana power kubwa sana hakuna Maradhi ambayo watashindwa kukupa na hutopona

Asikudanganye mtu hakuna mchungaji Wala shekhe Wala mganga wa kukusaidia labda ukutane na mganga then akushauri tu kwamba ukubali kufanya kazi Yao apart from that you're doomed

Na ukiona kuwa walikutaka then ukakataa na wakakuacha salama basi ujue wewe haukuwa target Yao sahihi
 
Mimi sio niliyesema kuwa binamu yangu ni mganga 🤣🤣

Ila nipo Moro town though nilitaka kumjua huyo mshenzi
Sawa mkuu. Sorry nimekunukuu vibaya. Basi tumsubiri mtoa mada aje kutusanulia.
 
Kuna ndugu alikuwa anaumwa, watoto wake huyo ndugu wakaamua kwenda kwa mganga. Kufika kwa mganga wakaambiwa mgonjwa amerogwa na ndugu zake. Kuanzia hapo ikawa beef kati ya watoto wa huyo ndugu na ndugu wengine . Sasa tangu hapo hao ndugu hawaongei. Fck yuu waganga wote wagombanishi
🤣🤣 Dahh so sad 😢
 
Ee bwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga, ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa, yeye ni ustadhi tu ila akajifanya eti ana majini hivyo akajipachika uganga wa kienyeji.

Sasa mimi mchongo mzima naujua kuwa jamaa ni tapeli tu, mara moja moja huwa namtembelea kwake nakuta kuna nyomi ya watu inahitaji huduma yake, sasa kuna wakt huwa ananipa kazi ya kumsaidia sasa jamaa huwa ananipa ishara kuwa ikiingia pisi kali ndani atazuga anaiambia majini yake au wazee kama ambavyo huwa anawaita wanamtaka huyo mrembo avue nguo ageuke nyuma kisha ainame, kweli na wanawake wengi huwa wanatii maagizo, basi wakigeuka sisi tunapeana tu ishara tunacheka..jamaa kwa kifupi anazifaidi sana papuchi kwa kuzitafuna na kuzishikashika kwa kigezo cha maelekezo ya majini.

Jamaa pia pesa anawapiga sana watu wanaokuja na matatizo yao, wale mbuzi au kuku wanaoletwa kwa ajili ya kafara, baada ya shughuli huwa anazuga eti kwenda kuwafukia
Ila kiuhalisia huwa anapika anawala.

Mambo ni mengi hii nchi.

Wajinga ndiyo waliwao
😛
 
Back
Top Bottom