hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
So kinacho kufanya usimuamini ni kipi wakati kaka yako amepona !?Haya kama unawaamini ila mie siaminigi japo alimsaidia braza hadi sasa hivi anaendelea poa
So kinacho kufanya usimuamini ni kipi wakati kaka yako amepona !?Haya kama unawaamini ila mie siaminigi japo alimsaidia braza hadi sasa hivi anaendelea poa
Hahaha my ribs 🤣Kuna mmoja yupo hapo Tabata sio mchezo! Ana karadio kake anakatumia kuongea na majini.
Uganga ni kitu kigumu sana it's scaryJamani yeye ameshasema jamaa ni tapeli kwa hayo ni sawa. Ila uganga ni zaidi ya mchungaji kwa masharti yake siyo kupalamia tu maana ni kazi ya kujitenga na mabaya na kumbuka wanaowindwa na wabaya wao pia ulinzi wa kiroho kwao ndio jicho la kwanza ndio mengine yafuate.
🤣🤣 Nitag katka huo UziTechnology mkuu..
Hapo zamani waliweka spika vichakani .. Kwenye majumba walitoboa kuta na kupitisha mabomba ambapo nyuma take kuna redio au mic😂
Kumbuka kisa cha matapeli mapori ya mbezi (kiliwahi kusimuliwa hapa)
Na kisa cha Mganga mahela wa Mbezi beach
Uko sahihi hapo ni tatizo la job ethics na Hilo lipo ktk Kila sektaUganga ni taaluma kama zingine,zipo aina nyingi za waganga hadi wa hospital ni waganga, uganga sio mbaya ubaya ni matumizi mabaya ya nguvu za kiganga kudhuru.
Mkuu huyo mganga anakaa wilaya gani? Kuna jamaa mmoja hapo Morogoro mwenye tabia za huyu binamu yako. Anawagonga sana pisi kali wanaojipeleka kwake kusaka huduma.Ee bwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga, ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa, yeye ni ustadhi tu ila akajifanya eti ana majini hivyo akajipachika uganga wa kienyeji.
Sasa mimi mchongo mzima naujua kuwa jamaa ni tapeli tu, mara moja moja huwa namtembelea kwake nakuta kuna nyomi ya watu inahitaji huduma yake, sasa kuna wakt huwa ananipa kazi ya kumsaidia sasa jamaa huwa ananipa ishara kuwa ikiingia pisi kali ndani atazuga anaiambia majini yake au wazee kama ambavyo huwa anawaita wanamtaka huyo mrembo avue nguo ageuke nyuma kisha ainame, kweli na wanawake wengi huwa wanatii maagizo, basi wakigeuka sisi tunapeana tu ishara tunacheka..jamaa kwa kifupi anazifaidi sana papuchi kwa kuzitafuna na kuzishikashika kwa kigezo cha maelekezo ya majini.
Jamaa pia pesa anawapiga sana watu wanaokuja na matatizo yao, wale mbuzi au kuku wanaoletwa kwa ajili ya kafara, baada ya shughuli huwa anazuga eti kwenda kuwafukia
Ila kiuhalisia huwa anapika anawala.
Mambo ni mengi hii nchi.
Hakuwa na hiyo karama by fate huyoMtani samahani sana hivi uliwezaje kuacha?
🤣🤣🤣 Mganga Gani huyo !? Morogoro sehemu GaniMkuu huyo mganga anakaa wilaya gani? Kuna jamaa mmoja hapo Morogoro mwenye tabia za huyu binamu yako. Anawagonga sana pisi kali wanaojipeleka kwake kusaka huduma.
Mkuu ningeshangaa sana kama nisingekuona kwenye huu uzi pendwa.Ningekuwa bado Kilingeni ningefafanua mengi
Mo Town mkuu. Huyo binamu yako yupo Moro ipi? Isije ikawa ndiye mwenyewe. Anawainamisha sana akina mama. Nadhani anatumia madawa, sio kwa kugegeda kule!🤣😂🤣😂🤣🤣🤣 Mganga Gani huyo !? Morogoro sehemu Gani
Wacha awagegede wajinga mkuu. Shida iko wapi?Heeee..... mhurumie huyo, za mwizi 40 nyundo itakayomgonga bado iko gym inajinoa hakuna ubaya usiolipwa hapa chini ya jua
😁😁😁 Nipo Moro ndio maana naulizaMo Town mkuu. Huyo binamu yako yupo Moro ipi? Isije ikawa ndiye mwenyewe. Anawainamisha sana akina mama. Nadhani anatumia madawa, sio kwa kugegeda kule!🤣😂🤣😂
Waganga wa kienyeji washenzi sana. Kuna ndugu zangu wana mwaka mzima hawaongei kisa hizi mbanga za waganga. Shenzy kabisa hawa viumbe.Ee bwana kuna binamu yangu ni mganga wa mchongo yuko hapo morogoro, ninavyosema ni mganga wa mchongo namaanisha sio mganga, ila anazuga kuwa ni mganga na anawapiga watu pesa, yeye ni ustadhi tu ila akajifanya eti ana majini hivyo akajipachika uganga wa kienyeji.
Sasa mimi mchongo mzima naujua kuwa jamaa ni tapeli tu, mara moja moja huwa namtembelea kwake nakuta kuna nyomi ya watu inahitaji huduma yake, sasa kuna wakt huwa ananipa kazi ya kumsaidia sasa jamaa huwa ananipa ishara kuwa ikiingia pisi kali ndani atazuga anaiambia majini yake au wazee kama ambavyo huwa anawaita wanamtaka huyo mrembo avue nguo ageuke nyuma kisha ainame, kweli na wanawake wengi huwa wanatii maagizo, basi wakigeuka sisi tunapeana tu ishara tunacheka..jamaa kwa kifupi anazifaidi sana papuchi kwa kuzitafuna na kuzishikashika kwa kigezo cha maelekezo ya majini.
Jamaa pia pesa anawapiga sana watu wanaokuja na matatizo yao, wale mbuzi au kuku wanaoletwa kwa ajili ya kafara, baada ya shughuli huwa anazuga eti kwenda kuwafukia
Ila kiuhalisia huwa anapika anawala.
Mambo ni mengi hii nchi.
Kwasababu tiba zao hazina uhakika na wengi ni waongo waongoSo kinacho kufanya usimuamini ni kipi wakati kaka yako amepona !?
Au labda alikuwa wale wa kuununua kwa mtu ila wenyewe kabisa wa asili hauwezi kuukanaHakuwa na hiyo karama by fate huyo
Kazi yenyewe Ukiwa choosen one ukiiacha una kufa au unapata marashi ya kudumu au una kuwa masikini was kutupwa Yaani sio mchezo
Alipata nafuu baadae vikamrudia tena, akamfanyia tena dawa sasa hivi kapona🤣 Ndugu yenu alipona hakupona ?? Tuanzie hapo kwanza
+ Upigaji Ndio itakuwa alikuwa yeyeAu labda alikuwa wale wa kuununua kwa mtu ila wenyewe kabisa wa asili hauwezi kuukana
So kama alimsaidia you should trust himAlipata nafuu baadae vikamrudia tena, akamfanyia tena dawa sasa hivi kapona
😁😁😁😁 Ilikuwaje Mzee !?Waganga wa kienyeji washenzi sana. Kuna ndugu zangu wana mwaka mzima hawaongei kisa hizi mbanga za waganga. Shenzy kabisa hawa viumbe.
Mimi namuamini Mungu tu hawa binadamu hapanaSo kama alimsaidia you should trust him