The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Kuwa makini utaliwaUongooooo!!!
Kuwa makini utaliwaUongooooo!!!
Mmmmmhhh kila mtu na anachokiaminiWee Jumamosi rais wako atakuwa kwa mwamposa
Kaongea ukweli tupu jamaaUongooooo!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wajinga wengi nchi hii ukifa maskini ni uzembe wako
Huko kwenye wokovu ndo balaa zitoAisee ni matapeli wotee saivi naenda kuokoka
Mama ndege Yuko kisakiMama Ndege yaukweli haya 😄
HowHuko kwenye wokovu ndo balaa zito
Kwamba Mganga ni mtu Safi?🤣Ni kinyume na taaluma ya uganga, ukifanya hivyo kama una karama ya uganga utoweka.
Wafanyao hivyo wengi huwa ni matapeli, kanuni ya uganga hairuhusu huo uchafu
Pole mtejaUongooooo!!!
Pamoja na shuhuda za wazi kama hizi lakini kuna mwanamke anasoma huu uzi na bado ataenda kwa mganga feki na ataliwa kizembe kabisa kitapeli.Kuna dada mke wa mtu alikua na tatizo la kutokushika mimba.
Akamwelezea rafiki yangu kwa machungu sana ndoa ina siku nyingi lakini wapi.
Jamaa yangu kumbe siku nyingi alikua anamtaka yule mke wa mtu.
Akamwambia atampeleka kwa mganga huko kibaha anasaidia wanawake wengi tatizo hilo.
Siku moja kabla jamaa alipanga dili na huyo mganga kua anakuja na mteja ila afanye chini juu mteja akubali kufanya naye mapenzi.
Basi ikafika siku ya kwenda kwa huyo sangoma kufika dada alivyojielezea tatizo lake mganga akaagiza zipatikane mchanganyiko wa shahawa na mbegu za kike ili mganga azitabane.
Mdada akaona ashafeli asingeweza kubeba shahawa za mume wake mpaka kwa mganga.
Akaishiwa pozi.
Nipo mganga akatoa ushauri.
Kwani huyu aliyekuleta kaka Yako?
Mnaweza fanya zikapatikana nikarndelea na shughuli na uhakikishe unafika kileleni ili nawe zitoke.
Dada akakubali wakapewa rum.
Jamaa aliia kwa nguvu sana tena kwa kurudia rudia ili ahakikishe anapata sampo ya kutosha kumkabidhi mganga.
Baadae mdada akazitoa hizo sperm kwa kujipangusa na leso na kumkabidhi mganga feki.
Ndio ashaliwa tayari.
Jamani yeye ameshasema jamaa ni tapeli kwa hayo ni sawa. Ila uganga ni zaidi ya mchungaji kwa masharti yake siyo kupalamia tu maana ni kazi ya kujitenga na mabaya na kumbuka wanaowindwa na wabaya wao pia ulinzi wa kiroho kwao ndio jicho la kwanza ndio mengine yafuate.Uongooooo!!!
Ushatoka kilingeni, lakini elimu si bado unayo mkuu?Ningekuwa bado Kilingeni ningefafanua mengi
Technology mkuu..Ushatoka kilingeni, lakini elimu si bado unayo mkuu?
Embu nipe elimu kidogo, ni sayansi ipi wanayotumia waganga kufanya sauti itokee upande wa pili wakati akiigiza kukutabiria jambo?
Mfano akikwambia 'wazee wanakuja', punde unasikia vishindo na sauti za watu(mtu) live anakupatia maelekezo nini cha kufanya ndani ya kilinge humo humo!
Huo ni ujanja gani unaotumika, maana hakuna speaker kusema labda imetegwa, ni sauti live ikitiririka from no where wirelessly!
Hii imekaaje mkuu?
Vipi mimba ilipatikana?Kuna dada mke wa mtu alikua na tatizo la kutokushika mimba.
Akamwelezea rafiki yangu kwa machungu sana ndoa ina siku nyingi lakini wapi.
Jamaa yangu kumbe siku nyingi alikua anamtaka yule mke wa mtu.
Akamwambia atampeleka kwa mganga huko kibaha anasaidia wanawake wengi tatizo hilo.
Siku moja kabla jamaa alipanga dili na huyo mganga kua anakuja na mteja ila afanye chini juu mteja akubali kufanya naye mapenzi.
Basi ikafika siku ya kwenda kwa huyo sangoma kufika dada alivyojielezea tatizo lake mganga akaagiza zipatikane mchanganyiko wa shahawa na mbegu za kike ili mganga azitabane.
Mdada akaona ashafeli asingeweza kubeba shahawa za mume wake mpaka kwa mganga.
Akaishiwa pozi.
Nipo mganga akatoa ushauri.
Kwani huyu aliyekuleta kaka Yako?
Mnaweza fanya zikapatikana nikarndelea na shughuli na uhakikishe unafika kileleni ili nawe zitoke.
Dada akakubali wakapewa rum.
Jamaa aliia kwa nguvu sana tena kwa kurudia rudia ili ahakikishe anapata sampo ya kutosha kumkabidhi mganga.
Baadae mdada akazitoa hizo sperm kwa kujipangusa na leso na kumkabidhi mganga feki.
Ndio ashaliwa tayari.
Hivyo vihunzi vya matatizo ya uzazi wanawake huwa hawawezi kuvikwepa.Kuna dada mke wa mtu alikua na tatizo la kutokushika mimba.