Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Ndio bro.....tuone kama shida yake inafaa kumalizwa na kuku au mbuzi.😁😀 Bro unataka kumuona mteja kwa nyuma.......
Ndio bro.....tuone kama shida yake inafaa kumalizwa na kuku au mbuzi.😁😀 Bro unataka kumuona mteja kwa nyuma.......
Mkuu sisi tulivyo mpeleka kaka yetu kwa yule mtaalamu mambo yalikuwa kama hivyo yaani huyo mtaalamu anafunikwa kaniki anapewa na udi anauvuta kisha sauti yake inabadilika anakuja marehemu baba yake anaongea kisambaa sijui kizigua kiswahili kidogo sana, ndiyo anayetoa maelezo yote na dawa sasa hapo mimi sijajua kama huyo naye ndiyo wale wale au lah!Mama Ndege yaukweli haya 😄
Usipojua mbinu za kutatua changamoto zako utazitatua kwa kulipiaHizi kuku wanazipiga sana na wali mbona, familia ya mganga hailali njaa, pesa mnaweza kukosa lakini sio kukosa kula wali na nyama ya kuku au mbuzi. Penye wajinga wengi Kuna mtaji mwingi.
Nitaomba hii connection siku 1 rafiki yanguMkuu sisi tulivyo mpeleka kaka yetu kwa yule mtaalamu mambo yalikuwa kama hivyo yaani huyo mtaalamu anafunikwa kaniki anapewa na udi anauvuta kisha sauti yake inabadilika anakuja marehemu baba yake anaongea kisambaa sijui kizigua kiswahili kidogo sana, ndiyo anayetoa maelezo yote na dawa sasa hapo mimi sijajua kama huyo naye ndiyo wale wale au lah!
Sio walale Nao,wanawaambia eti kuna dawa anapaswa amuingizie aipake kwenye dhakari ndo aitumbukize🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna hawa wanajifanya wakawa Pete za bahati , watabiri nyota , wanachapa sana wake za watu , utasikia lala na mimi nikupe positive energy 😅 , Mshana Jr
Connection gani mkuu?Nitaomba hii connection siku 1 rafiki yangu
Hapo mlipompeleka kakaConnection gani mkuu?
Na wewe una shida ya tiba😅Hapo mlipompeleka kaka
Nataka nipandishwe ngazi 😊Na wewe una shida ya tiba😅
Kuokoka maana yake ujitapeli mwenyewe auAisee ni matapeli wotee saivi naenda kuokoka
Hahaha kuna hawa wa positive energy , kwamba akimtafuna bi dada anamwachia positive energy na wanajinadi wanafanya meditation hatari😅Sio walale Nao,wanawaambia eti kuna dawa anapaswa amuingizie aipake kwenye dhakari ndo aitumbukize🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nafuu nitapeliweKuokoka maana yake ujitapeli mwenyewe au
Kuokoka ndio utapigwa za uso mpaka ushangaeAisee ni matapeli wotee saivi naenda kuokoka
Haya kama unawaamini ila mie siaminigi japo alimsaidia braza hadi sasa hivi anaendelea poaNataka nipandishwe ngazi 😊
Umejiandaa kutoa sadaka ya kujimalizaAisee ni matapeli wotee saivi naenda kuokoka