Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
😹😹😹KumekuchaKama kweli Huyu single mother ndio kasababisha Aziza kubaki bongo basi Aziza ana matatizo makubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😹😹😹KumekuchaKama kweli Huyu single mother ndio kasababisha Aziza kubaki bongo basi Aziza ana matatizo makubwa
😹😹😹 Slow slow mbele kuna mteremko mkali.Ulipata lulu, uitunze, wengine wanajamba jamba tu, mashine mbovu, na invoice ni nyingi
Uroge mchezaji aliyejiishia?Kama ni rahisi hivyo mngemroga Chama abaki.
Kama ni Zawadi ya MauaUroge mchezaji aliyejiishia?
Hivi nyie utipolo m amuona chama huyu wa sasa ni wa thamani sana? Chama aliyeondoka Simba ni Yule aliyeenda barkane huyu wa sasa ni sawa na zawadi mauya
Hujitambui wewe dogo, Yanga ni taasisi kubwa huiweziNa cha Kushangaza pia za South Afrika anapewa kila Mwezi, ila za Ilala anapewa kwa Awamu Tano na hata Kukopwa.
View attachment 3039763
Ni mwafrika unategemea nini?😀Kama kweli Huyu single mother ndio kasababisha Aziza kubaki bongo basi Aziza ana matatizo makubwa
GENTAMYCINE wala sio mil 30 na wala hakuna mganga, kaambiwa "Chukua 1m na huyo mtoto hapo"Na cha Kushangaza pia za South Afrika anapewa kila Mwezi, ila za Ilala anapewa kwa Awamu Tano na hata Kukopwa.
View attachment 3039763
Nimecheka mpaka basi Mkuu.Kweli stori ya Delila na Samson ina make sense.
Mtu amekataa mshahara wa milioni 94 za waarabu kisa mtoto wa Manzese.
Tuwaheshimu hawa viumbe jamani
Vipi anaenda Haja Kubwa nae au Muoga?Hujui anachopewa, mtoto anaonekana anajua mambo
Kama kwenye 30 unapata faida ya 20... Na 90 unapata faida ya 19... wewe unadhani wapi ni bora...??? Maisha ya Tanzania ni cheap kwa wageniNa cha Kushangaza pia za South Afrika anapewa kila Mwezi, ila za Ilala anapewa kwa Awamu Tano na hata Kukopwa.
View attachment 3039763
Mbunye haibani tena Vyuma Chakavu vyote vinapwaya tu.Mbona kila anayepiga anapita
Acha wivu wee mzee😂Na cha Kushangaza pia za South Afrika anapewa kila Mwezi, ila za Ilala anapewa kwa Awamu Tano na hata Kukopwa.
View attachment 3039763
Huyu DC Hassan Bomboko yuko wapi? Yaani anajifanya hajamuona Mabeto mpaka sasa!Na cha Kushangaza pia za South Afrika anapewa kila Mwezi, ila za Ilala anapewa kwa Awamu Tano na hata Kukopwa.
View attachment 3039763
Mkaamua kulipiza?Joyce lomalisa hajambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukiwaambia Dawa zipo ham elewi!
Ile Jezi anayovaaga ilipelekwa Tanga ikatengenezwa wiki nzima ndio akaja kuivaa akacheza mechi za mwisho mwisho..
Baada ya hapo Domo akawa hasikii wala haelewi[emoji28][emoji28]