Waganga wa Tanzania Kiboko yaani Mtu 'anarogwa' hadi anaacha Mshahara wa Tsh Milioni 90 kwa Mwezi South Afrika na Kuubali wa Tsh Milioni 30 za Ilala

Huyo mrembo chombo ya fundi huyo aziz anatumika tu kuua so na analipwa kwa kazi hiyo hela nyingi tu na fundi mwenyewe
 
Tulitafuta silaha ya kumbakisha kimkakati maana kila dalili zilionyesha Ki kuota mabawa wakati sisi tunahitaji huduma yake...simpo tu akasaini chap
 
Tukiwaambia Dawa zipo ham elewi!

Ile Jezi anayovaaga ilipelekwa Tanga ikatengenezwa wiki nzima ndio akaja kuivaa akacheza mechi za mwisho mwisho..

Baada ya hapo Domo akawa hasikii wala haelewi[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…