[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii, khaaaahUroge mchezaji aliyejiishia?
Hivi nyie utipolo m amuona chama huyu wa sasa ni wa thamani sana? Chama aliyeondoka Simba ni Yule aliyeenda barkane huyu wa sasa ni sawa na zawadi mauya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kaka and midomo mibaya myekundu imechanua kama mashavu ya k-vant,
simuelewagi anaonekana ana kaujinga flani ka kuishi maisha ya wapambe, sipendi mwanaume asie na msimamo
kwamba hata kimasihara Aziz Ki hapati ?Huyo mrembo chombo ya fundi huyo aziz anatumika tu kuua so na analipwa kwa kazi hiyo hela nyingi tu na fundi mwenyewe
yes mbunye haibani, ila huenda jicho likawa linadai bado.. watoto wa mjini hao.. wapewa vyoteMbunye haibani tena Vyuma Chakavu vyote vinapwaya tu.
ChaiNa cha Kushangaza pia za South Afrika anapewa kila Mwezi, ila za Ilala anapewa kwa Awamu Tano na hata Kukopwa.
View attachment 3039763
Kwani yeye anakupenda?Huyu kaka and midomo mibaya myekundu imechanua kama mashavu ya k-vant,
simuelewagi anaonekana ana kaujinga flani ka kuishi maisha ya wapambe, sipendi mwanaume asie na msimamo
Anaenda kama weweVipi anaenda Haja Kubwa nae au Muoga?
Ananijua sasaKwani yeye anakupenda?
Yanga na Simba na. CCM na chadema na nccr pia ni kitu kimoja kabisa,Kama kweli Huyu single mother ndio kasababisha Aziza kubaki bongo basi Aziza ana matatizo makubwa
Na kasmell kwa mbaaaliiiiHujui anachopewa, mtoto anaonekana anajua mambo
Unamjadili wewe na nani?yule dada anasogelea nyota ili nae yake ing'ae kama hivi tunamjadili!
Unajipa umuhimu usiokuwa nao kwa maisha ya watu. Sio Aziz K peke yake, hata sisi huku JF hatukupendi pia acha kukashfu uumbaji wa Mungu kwa wengine.Huyu kaka and midomo mibaya myekundu imechanua kama mashavu ya k-vant,
simuelewagi anaonekana ana kaujinga flani ka kuishi maisha ya wapambe, sipendi mwanaume asie na msimamo
Kwanini wewe hujambetia chama?Nasikia Hamisa Mabeto ame mbetia...
Timu???? Timu ya Tanzania awe na mapenzi nayo!!Kabaki yanga kwaajili ya mapenzi binafsi na timu
InawezekanaVyura wametumia akili ndogo sana kumnasa huyo mshamba, ndio maana washamba kama hao msimbazi hawana nafasi.
Na kidevu chake ka kisigino...🤣Na angeona picha zake za udogoni angeghairi maana anachoona kwa sasa ni photoshop tu
Naunga mkono hoja.Vibinti vilivyokulia uswazi vinakuwaga vina utundu flani hivi
Club ilichemcha requirement zake thus mauvundo na Madera inasemekana ndo wamejazia palipo pungua.Na cha Kushangaza pia za South Afrika anapewa kila Mwezi, ila za Ilala anapewa kwa Awamu Tano na hata Kukopwa.
View attachment 3039763