Waganga wa Tanzania Kiboko yaani Mtu 'anarogwa' hadi anaacha Mshahara wa Tsh Milioni 90 kwa Mwezi South Afrika na Kuubali wa Tsh Milioni 30 za Ilala

Huyu kaka and midomo mibaya myekundu imechanua kama mashavu ya k-vant,
simuelewagi anaonekana ana kaujinga flani ka kuishi maisha ya wapambe, sipendi mwanaume asie na msimamo
K-vant hii hii ama?
 
Naunga mkono hoja....
Kwanza yule dem ana mashavu ka anapuliza moto na pua lake lilonyenyuka ka ananusa harufu mbaya...☹️
Hivi kumbe na wewe unashushaga maneno ya hivyo?. Nini kimekupanikisha?. Aziz kubaki timu ya wababe?. Mnaweza kusema yote,Hamisa sijui nani?.

Lakini Aziz Ki ni akili kubwa anaona mbele. Hataki yamkute ya Mickson,hataki yamtokee ya Mayele. Mayele anacheza piramid lakini akili iko YANGA. Anapewa mkwanja mrefu Piramid,lakini anatamani arudi YANGA. Analipwa pesa ndefu Piramid lakini hana furaha huko,hana amani huko

KWA HIYO JUENI KWAMBA PESA SI CHOCHOTE MBELE YA AMANI YA MOYO,FURAHA YA MOYO
 
Acha kujitekenya wew nan kakwambia mayele akili yote ipo Yanga? Alfu kwenye hii Dunia kila kitu ni pesa mengine mbwembwe tu
 
Acha kujitekenya wew nan kakwambia mayele akili yote ipo Yanga? Alfu kwenye hii Dunia kila kitu ni pesa mengine mbwembwe tu
Acha kujichetua wewe,nani amekuambia wewe Mayele hafikirii kurudi YANGA?.

Unawafahamu matajiri vijana wa Arusha?. Wana pesa ndefu za madini,lakini ndio wanaoongoza kwa kujiua. Kwa nini pesa isiwaletee furaha?. Wewe ambae huna hela,ni sawa tafuta hela sana
 
Kuna mahala nimeona amepost kwamba "alitumia usiku mzina kumshawishi Ki abaki yanga".....🤣
Wakubwa tumeeliewa lakini....😜
 
Kweli stori ya Delila na Samson ina make sense.

Mtu amekataa mshahara wa milioni 94 za waarabu kisa mtoto wa Manzese.

Tuwaheshimu hawa viumbe jamani
Kweli huyu boya 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu kaka and midomo mibaya myekundu imechanua kama mashavu ya k-vant,
simuelewagi anaonekana ana kaujinga flani ka kuishi maisha ya wapambe, sipendi mwanaume asie na msimamo
🤣🤣🤣🤣 Aisee kwwli waswahili mna maneno.
 
Maisha yanahitaji furaha sio pesa!!hata wewe hapo Uganda hujakamatika vizuri,siku ukikamatika utaacha hiyo kazi yako ikulu!!!

Furaha ndio kila kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…