G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Kinachofanywa na Tanzania leo, kilifanywa na Trump siku chache zilizopita ila leo amekuwa mtu wa kulaumu kila eneo. Imewagharimu wamarekani zaidi ya elfu 13 kuzikwa huku asilimia 70 wakiwa wamarekani weusi.
Hili gonjwa la COVID 19 limeenda mbali na sasa linagharimu hadi wanyama wa mwituni. Hivyo si gonjwa la kupuuzwa hata kidogo.
Pichani chini ni baadhi ya wageni wakiwa katika hosteli za chuo kikuu cha Dar es Salaam walioingia nchini jana. Aidha inaonekana wazi watu hawajali, wamejikalia tu, hawajikingi.
Sasa kuna haja gani unaweka hawa quarantine wakati wanaowapokea wakionekana hawajali na wakitoka hapo wanaenda mitaani kama kawaida. Dah!