Wageni bado wanatimba tu nchini mwetu, ee Mungu tunusuru na Corona

Wageni bado wanatimba tu nchini mwetu, ee Mungu tunusuru na Corona

Hakuna mtu anapenda kukaa ndani jamani, wanakuja huku kwa kuwa wanaamini kuwa nchi haina Lockdown, watakuwa huru baada 14 days. Huko kwao sio 14 days ni hadi itakapotangazwa. Wanahofia Psychological problems kwao itakayosababishwa na kukaa ndani kwa muda mrefu na sio kuwa hawapendi kubaki kwao kipindi hiki.
 
Wale kima waliozoea Kula Mikate na vinono vya watalii katika hifadhi fulani kule Arusha wanateseka sana kipindi hiki. Walipo huko wapo katika vikao kijadili upungufu wa chakula katika himaya yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom