Kama una ndugu yako Askari polisi,kuwa nae makini sanaKinachofanywa na Tanzania leo, kilifanywa na Trump siku chache zilizopita ila leo amekuwa mtu wa kulaumu kila eneo. Imewagharimu wamarekani zaidi ya elfu 13 kuzikwa huku asilimia 70 wakiwa wamarekani weusi.
Hili gonjwa la COVID 19 limeenda mbali na sasa linagharimu hadi wanyama wa mwituni. Hivyo si gonjwa la kupuuzwa hata kidogo.
Pichani chini ni baadhi ya wageni wakiwa katika hosteli za chuo kikuu cha Daresalaam walioingia nchini jana. Aidha inaonekana wazi watu hawajali, wamejikalia tu, hawajikingi. View attachment 1412365View attachment 1412366Sasa kuna haja gani unaweka hawa quarantine wakati wanaowapokea wakionekana hawajali na wakitoka hapo wanaenda mitaani kama kawaida. Dah!
Na wenye matatizo ya moyo kama wenzao waamerika-afrika. Hivi Mwanakijiji na Nyani Ngabu wapo kweli? Maana jana kitu kimesoma 1734. Noma sana!
Ngabu yuko kimya sana!Na wenye matatizo ya moyo kama wenzao waamerika-afrika. Hivi Mwanakijiji na Nyani Ngabu wapo kweli? Maana jana kitu kimesoma 1734. Noma sana!
Ndio unataka kusema Polisi wote wapo Airports? Dont stereotype.Kama una ndugu yako Askari polisi,kuwa nae makini sana
Kipaumbele ni kuingiza mapato hayo mengine sio issue kwetu!!
Msitupangie!!
Halafu fedha anakabiziwa Polepole ili aendelee na manunuziKipaumbele ni kuingiza mapato hayo mengine sio issue kwetu!!
Msitupangie!!
Mkuu hizo mask siyo zenyewe. Na huyo mmoja kaifungua kaiacha inaning'iniatazama hao askari walivokaa karibu na hao wageni ambao labda ni wagonjwa, na hao sijui ndio watumishi wa Afya kisa wamevaa mask basi wanakaa karibu na hao wageni, hii nchi imejaa ujinga mwingi sana, lets say wameingia wageni 50 kwa week, kati yao 1 ndiye ana virusi, wanaenda kuchanganywa hivo hiyo inamaanisha 49 watavipata
wapo magufuli hostel piaNdio unataka kusema Polisi wote wapo Airports? Dont stereotype.
Nchi yetu inategemea watalii mkuuKinachofanywa na Tanzania leo, kilifanywa na Trump siku chache zilizopita ila leo amekuwa mtu wa kulaumu kila eneo. Imewagharimu wamarekani zaidi ya elfu 13 kuzikwa huku asilimia 70 wakiwa wamarekani weusi.
Hili gonjwa la COVID 19 limeenda mbali na sasa linagharimu hadi wanyama wa mwituni. Hivyo si gonjwa la kupuuzwa hata kidogo.
Pichani chini ni baadhi ya wageni wakiwa katika hosteli za chuo kikuu cha Dar es Salaam walioingia nchini jana. Aidha inaonekana wazi watu hawajali, wamejikalia tu, hawajikingi. View attachment 1412365View attachment 1412366Sasa kuna haja gani unaweka hawa quarantine wakati wanaowapokea wakionekana hawajali na wakitoka hapo wanaenda mitaani kama kawaida. Dah!
Kwani Mangula kishakufa?je wenye betri wanabakia?mkuu Africa corona watakufa watu wenye visukari ....kama Mangula.
Wanadalili zozote za maambukizi ya covid -19?wapo magufuli hostel pia