Hakuna mtu anapenda kukaa ndani jamani, wanakuja huku kwa kuwa wanaamini kuwa nchi haina Lockdown, watakuwa huru baada 14 days. Huko kwao sio 14 days ni hadi itakapotangazwa. Wanahofia Psychological problems kwao itakayosababishwa na kukaa ndani kwa muda mrefu na sio kuwa hawapendi kubaki kwao kipindi hiki.