Wageni na Watanzania wenye asili za Asia wote wana Vitambulisho vya NIDA

Ukweli ni kwamba wanatoa rushwa hata kama wana uraia au awana uraia wanatoa rushwa.
hata wewe ukitoa rushwa unapata NIDA chap.
mkiniteka mniteke fresh tu lakini mambo yapo ivyo.
Siwezi toa rushwa, haiwezekani kila kitu tutoe rushwa haiwezekani this is too much? Sisi ndio tunao hamasisha rushwa na baadae tunaa za kulalamika, mimi sitoi wacha wasinipe KADI
 
Kwani hadi unapewa number ya NIDA si maana yake uko apprived? Kwa hio wanapewa kwa sababu wana Documents zote? Hii iko kwenye Mashariti ya NIDA au ndio akili zako zinakutuma

Wahindi wana kila kitu tangia Uhuru, Watanzania wengi weusi ni chaos tu hata majina tu hayaeleweki mtu anaitwa Deo Mushi wakati shuleni aliitwa Deo Mtwa, kila cheti kina jina tofauti sasa kwenye documentation ni shida tupu, …
 
Ndio maana wahindi wengi wanaishi town tu, posta na mailala huko sisi tumejazana mbagala kajamba nani

Kwa sababu ilipangwa hivyo tangia ukoloni, kwanza ni apartheid ilitumika Tanzania ingawaje tuliambiwa ni AK tu ndiyo kuna apartheid lkn Historia ya Tanzania ilifwata apartheid na ndiyo maana kuna Uzunguni, Uhindini na Uswahilini na hii ni nchi nzima na sisi tumerithi bila hata kuelewa maana yake sasa hata miji mipya tunajenga tunaita maeneo Uzunguni, Uhindini na Uswahilini bila ya kujua Historia ya haya maneno ni Apartheid.

Mpaka leo hii Wahindi hata Coco beach wana sehemu yao hukaa peke yao na weusi wana ya kwao ni tangia ukoloni, …
 
Ukisikia uhaba wa Vitambulisho vya NIDA usifikiri ni kwa wote, ni Watanganyika pekeee ndio wanao tembea na number badala ya Kitambulisho, wageni wanavyo sasa sijajua Wageni na Watanzania wenye asili ya Asia wana vipata vipi ila nacho jua wao wana vitambulisho wote, Sasa jiulize wao wanavipataje? Na kwa nini Watanganyika na wao wasvipate kama hao wageni?

NIDA ni bahati mbaya kwamba inaoenekana ina Backup kutoka juu kwa ujinga wanao ufanya, haiwezekani ni Watanganyika pekee ndio wanao kosa vitambulisho huku Wageni na watu wengine wakipewa bila tatizo.

Mwezi uliopita nilishangaa Mtanzania mmoja mwenye asili ya Asia lipoteza NIDA yake na akapata mpya ndani ya siku 6, ndani ya siku 6 aka printiwa KADI mpya wakati Watanganyika wana miaka 5 hawajapata hizo kadi.

Pale Dododoma kila Mwaka wale Wabunge wamekuwa wana danganywa tu kuhusu Vitambulisho na wao wanaishia kupiga makofi tu.
Yote haya kasababisha jiwe......

Utamsikia mshiba asali mmoja akisema
 
Naongelea Watanzania wenye asili ya Asia, haya maelezo yako nayalewa sana, naongelea Watanzania siongelei Diplomacy, na oia tambua kuna Wagenni nji za jirani wana Vitambulisho vya urai hao ndio ninao zungumzia,

Mkuu

Watajwa wengi wao Wamekuwa Granted Citizenship by Naturalisation.

Wakishafanikiwa hilo wanakunjua mikono yao kwenye facilitation (Swaping process). Kadi inakuwa printed kwa uharaka.

Kwa Mzawa Kuna vituo vya NIDA ambavyo ukijiandikishia lazima upate NIN na Kadi kwa uharaka zaidi.

Tatizo letu sisi Watanganyika Attachment zenyewe hatuna then unataka ID yako itembee kwa uharaka zaidi.

Kuna watumishi wamefukuzwa kazi na wengine wako in cell, kwa kutokuwa waaminifu.

Vimemo vinaharibu sana
 
Ukisikia uhaba wa Vitambulisho vya NIDA usifikiri ni kwa wote, ni Watanganyika pekeee ndio wanao tembea na number badala ya Kitambulisho, wageni wanavyo sasa sijajua Wageni na Watanzania wenye asili ya Asia wana vipata vipi ila nacho jua wao wana vitambulisho wote, Sasa jiulize wao wanavipataje? Na kwa nini Watanganyika na wao wasvipate kama hao wageni?

NIDA ni bahati mbaya kwamba inaoenekana ina Backup kutoka juu kwa ujinga wanao ufanya, haiwezekani ni Watanganyika pekee ndio wanao kosa vitambulisho huku Wageni na watu wengine wakipewa bila tatizo.

Mwezi uliopita nilishangaa Mtanzania mmoja mwenye asili ya Asia lipoteza NIDA yake na akapata mpya ndani ya siku 6, ndani ya siku 6 aka printiwa KADI mpya wakati Watanganyika wana miaka 5 hawajapata hizo kadi.

Pale Dododoma kila Mwaka wale Wabunge wamekuwa wana danganywa tu kuhusu Vitambulisho na wao wanaishia kupiga makofi tu.
Hakuna mgeni anayepewa kitambulisho cha NIDA .Wote walionavyo ni watanzania.Unaweza ukawaona watu wanafanana na watu wa huko unakosema lakini hawajawahi kuvuka hata mpaka wa Tanzania.Tumesoma nao kiswahili na stori zo ni za humu humu Kigamboni na Kisutu
 
Huna unacho jua kaaa kimya tu endelea kula Ugari
 
Mkuu

Watajwa wengi wao Wamekuwa Granted Citizenship by Naturalisation.

Wakishafanikiwa hilo wanakunjua mikono yao kwenye facilitation (Swaping process). Kadi inakuwa printed kwa uharaka.

Kwa Mzawa Kuna vituo vya NIDA ambavyo ukijiandikishia lazima upate NIN na Kadi kwa uharaka zaidi.

Tatizo letu sisi Watanganyika Attachment zenyewe hatuna then unataka ID yako itembee kwa uharaka zaidi.

Kuna watumishi wamefukuzwa kazi na wengine wako in cell, kwa kutokuwa waaminifu.

Vimemo vinaharibu sana
Sikiliza wacha kutetea NIDA process za kusajili watu wote hadi upate number ni moja tu. Hakuna process za Wahundi na za Watanganyika, ishu ni kwamba Jamaa sanahonga wana printiwa, shids iko kwenye kuprint kadi, tu na sio number,
 
Back
Top Bottom