SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 509
- 1,391
Vitambulisjo vya NIDA na anazungumzia Wahindi wa TzVitambulisho vipi na vinapatikana saivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitambulisjo vya NIDA na anazungumzia Wahindi wa TzVitambulisho vipi na vinapatikana saivi
Sio kila kata vipo, nyingi havipo.Namba unaipata baada ya miezi 6 ukienda ofisi za kata yako unakuta kitambulisho chako. Wabongo hatupendi kufuatilia mambo ndio maana tunalalamika waasia wanapata vitambulisho wao wamefuatilia. Na swala la wao kupata vitambulisho siwezi semea sana kwakua huenda wanastahili kupata mbali na hapo zipo mamlaka za kudhibiti mambo hayo
Ukitoa hela unKipata ndani ya siku 2Vitambulisho vipi na vinapatikana saivi
Hapo kwenye kupita Kila ngazi ya utendaji sidhani kama ni kweli maana watu kibao ambao sio raia wa Tanzania wanavitambulisho vya NIDAMkuu
Usichanganye mambo.
Tuna aina tatu ya vitambulisho vya NIDA.
1) Wazawa hawa wana jaza fomu namba A1
2) Wageni( Legal) / Wakimbizi hawa wana jaza fomu namba A2
3) Mabalozi ( Diplomatics)
Naomba nizungumzie namba (2)
Hiyo kadi unayoisemea wewe iko kwenye kipengele hicho ambavyo vimesajaliwa kwendana na kibali chake cha kuishi hapo nchini. (Miaka miwili)
Hiyo kadi hapewi Bure kama wewe, Inauzwa $55 kwendana na daraja lake la kibali cha makazi.
NIDA wanafanya kazi nzuri sana, wanapaswa kupongezwa na si kubezwa.
ID za wazawa zinachelewa kutokana kwamba zinapita ngazi mbalimbali za kiutendaji.
Waarabu wengi ni wazawa wageni hawafiki hata theluthi ya wazawa,kama wanalipishwa mbona kuna mchina alihukumiwa kisutu kwa kumiliki kitambulisho cha NIDA,au yeye hana haki?Mkuu
Usichanganye mambo.
Tuna aina tatu ya vitambulisho vya NIDA.
1) Wazawa hawa wana jaza fomu namba A1
2) Wageni( Legal) / Wakimbizi hawa wana jaza fomu namba A2
3) Mabalozi ( Diplomatics)
Naomba nizungumzie namba (2)
Hiyo kadi unayoisemea wewe iko kwenye kipengele hicho ambavyo vimesajaliwa kwendana na kibali chake cha kuishi hapo nchini. (Miaka miwili)
Hiyo kadi hapewi Bure kama wewe, Inauzwa $55 kwendana na daraja lake la kibali cha makazi.
NIDA wanafanya kazi nzuri sana, wanapaswa kupongezwa na si kubezwa.
ID za wazawa zinachelewa kutokana kwamba zinapita ngazi mbalimbali za kiutendaji.
'Ungewabana' !Ungewabana hao wa-Asia,wakuibie Siri,wanavipataje ili nawe upate.
Usichojua nini sasa,network plus mpunga ndio habari ya mjini ,hao jamaa wanaongoza Kwa shortcuts mjini mishe zao zote na hasa wakifanya kazi na mtu mweusiUngewabana hao wa-Asia,wakuibie Siri,wanavipataje ili nawe upate.
Waarabu wengi wana NIDA ila watu wa kigoma na kagera wanaambiwa uraia wao una utata so hawawezi pata NIDA ontime.Ukisikia uhaba wa Vitambulisho vya NIDA usifikiri ni kwa wote, ni Watanganyika pekeee ndio wanao tembea na number badala ya Kitambulisho, wageni wanavyo sasa sijajua Wageni na Watanzania wenye asili ya Asia wana vipata vipi ila nachojua wao wana vitambulisho wote, Sasa jiulize wao wanavipataje? Na kwa nini Watanganyika na wao wasvipate kama hao wageni?
NIDA ni bahati mbaya kwamba inaoenekana ina Backup kutoka juu kwa ujinga wanao ufanya, haiwezekani ni Watanganyika pekee ndio wanao kosa vitambulisho huku Wageni na watu wengine wakipewa bila tatizo.
Mwezi uliopita nilishangaa Mtanzania mmoja mwenye asili ya Asia lipoteza NIDA yake na akapata mpya ndani ya siku 6, ndani ya siku 6 aka printiwa KADI mpya wakati Watanganyika wana miaka 5 hawajapata hizo kadi.
Pale Dododoma kila Mwaka wale Wabunge wamekuwa wana danganywa tu kuhusu Vitambulisho na wao wanaishia kupiga makofi tu.