BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
- #41
Bora hata PassportDuh! Yale yale ya passport nchi ngumu hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata PassportDuh! Yale yale ya passport nchi ngumu hii.
Sawa kilaza.We mjinga sikiliza, ni haki ya Raia kuwa na Kitambulisho sio swala la pesa wala nini? Nchi imejaa vilaza sana hii, kwamba kika kitu lazima uhonge? Hata vile ambayo wewe ni haki yako kuvipata? Kwa akili zako fupi unaona ni ujanja?
Swali ni kwanini wao wapewe na ikienda mtu unapata namba tu bila kitambulisho?Hakuna mgeni anayepewa kitambulisho cha NIDA .Wote walionavyo ni watanzania.Unaweza ukawaona watu wanafanana na watu wa huko unakosema lakini hawajawahi kuvuka hata mpaka wa Tanzania.Tumesoma nao kiswahili na stori zo ni za humu humu Kigamboni na Kisutu
Kuna watu wanawatetea sana hawa jamaa ni wala rushwa wakuuSwali ni kwanini wao wapewe na ikienda mtu unapata namba tu bila kitambulisho?
Acheni kuzunguka hao NIDA wamejaa rushwa. Nilishawahi kwenda mikono mitupu kwa ajili ya kitambulisho nikapewa maneno ooh sahv material ya kuprint hakuna na bla bla.
Nikamcheki dada mmoja tukaongea akadai nimpe hela nikampa mbona nilikipata fasta tu tena kwa kuletewa na mtu mpaka nilipo.
Mbona nina Wakenyabwana vitambulisho vya NIDA vya uraia sio vya ukaazi.Juzi nimepigiwa simu na mwekezaji mmoja kutoka Norway aliyefika Tanzania mwaka jana (2022) August, akiwa na namba ya simu ya mtandao wa Vodacom iliyosajiliwa kwa majina yake yote ya kwenye passport.
Nilipokutana naye, nilimuuliza amesajiri vipi namba yake ya simu,akaniambia ana kitambulisho cha NIDA, kitambukisho na sio namba!.
Serikali haiwajali Watanzania.
Kilaza ni wewe hapo, Unaweza kujiona umeongea point kumbe utumbo mtupu, kwa kifupi weww ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine, endelea na project ya kulamba wanaume miguu Chawa weweSawa kilaza.
Sasa usituletee malalamiko yako hapa kisa waAsia wote wana vitambulisho vya taifa, kama unajua no haki yako na hupati unadhani hiyo haki yako itakuletea?.
Kaa kwa kutulia hii ni Afrika, ukitaka haki yako lazima uipambanie hata kwa kuhonga siyo kupiga kelele kama mbuzi mwenye njaa!.
Tatizo ni CCMKwa sababu Wahindi na Waarabu ni first class citizens Tanzania ni urithi wa Ukoloni, Wahindi wana kila kitu wana documents zote za kuthibitisha Utanzania wao tangia Ukoloni, Watanzania weusi > 85% hawana chochote, kwa kifupi nchi ninya Wahindi ingawaje wengi hawalitambui hilo, wakati wa Ukoloni sisi hatukuwa raia wa English monarchy tulikuwa third class, na baada ya Uhuru hakuna kilichobadilika, …
Watanzania tunakosa Kadi za NIDA kwa sababu ya CCM.Ukisikia uhaba wa Vitambulisho vya NIDA usifikiri ni kwa wote, ni Watanganyika pekeee ndio wanao tembea na number badala ya Kitambulisho, wageni wanavyo sasa sijajua Wageni na Watanzania wenye asili ya Asia wana vipata vipi ila nachojua wao wana vitambulisho wote, Sasa jiulize wao wanavipataje? Na kwa nini Watanganyika na wao wasvipate kama hao wageni?
NIDA ni bahati mbaya kwamba inaoenekana ina Backup kutoka juu kwa ujinga wanao ufanya, haiwezekani ni Watanganyika pekee ndio wanao kosa vitambulisho huku Wageni na watu wengine wakipewa bila tatizo.
Mwezi uliopita nilishangaa Mtanzania mmoja mwenye asili ya Asia lipoteza NIDA yake na akapata mpya ndani ya siku 6, ndani ya siku 6 aka printiwa KADI mpya wakati Watanganyika wana miaka 5 hawajapata hizo kadi.
Pale Dododoma kila Mwaka wale Wabunge wamekuwa wana danganywa tu kuhusu Vitambulisho na wao wanaishia kupiga makofi tu.
Kabisa.Wakati hao wageni wakimiliki hivyo vitambulisho, wazawa miaka nenda wanaishi kwa kutegemea namba tu waliyopewa baada ya kujaza taarifa zao, kwa jina maarufu namba ya Nida!!
Nchi ngumu sana hii.
Ujinga wenu unazidi kuitafuna nchi.Ungewabana hao wa-Asia,wakuibie Siri,wanavipataje ili nawe upate.
Adui wa mtu mweusi Tanzania ni CCM.Adui wa mtu mweusi ni mweusi mwenzake.
Naona unapanic, soon utavunja simu.Kilaza ni wewe hapo, Unaweza kujiona umeongea point kumbe utumbo mtupu, kwa kifupi weww ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine, endelea na project ya kulamba wanaume miguu Chawa wewe
Vitambulisho vipi na vinapatikana saiviUkisikia uhaba wa Vitambulisho vya NIDA usifikiri ni kwa wote, ni Watanganyika pekeee ndio wanao tembea na number badala ya Kitambulisho, wageni wanavyo sasa sijajua Wageni na Watanzania wenye asili ya Asia wana vipata vipi ila nachojua wao wana vitambulisho wote, Sasa jiulize wao wanavipataje? Na kwa nini Watanganyika na wao wasvipate kama hao wageni?
NIDA ni bahati mbaya kwamba inaoenekana ina Backup kutoka juu kwa ujinga wanao ufanya, haiwezekani ni Watanganyika pekee ndio wanao kosa vitambulisho huku Wageni na watu wengine wakipewa bila tatizo.
Mwezi uliopita nilishangaa Mtanzania mmoja mwenye asili ya Asia lipoteza NIDA yake na akapata mpya ndani ya siku 6, ndani ya siku 6 aka printiwa KADI mpya wakati Watanganyika wana miaka 5 hawajapata hizo kadi.
Pale Dododoma kila Mwaka wale Wabunge wamekuwa wana danganywa tu kuhusu Vitambulisho na wao wanaishia kupiga makofi tu.
Kuna tatizo kubwa la watumishi wengi wa serikali na taasisi zake kuwa watiifu, submissive na kujipendekeza kwa wageni (hii inaanzia ngazi za chini hadi viongozi).Sio vitambulisho tu vya nida wana mpaka pasport za kitanzania Na uongozi mzima wa serikali unajua na hakuna wa kuwafanya chochote kibaya zaidi sio raia rasmi wa Tanzania yaani hawana uraia kisheria wa kitanzania fucktap country ukiwa na pesa tu unaweza kulala na wena na ukamkataa ubaya