Wageni na Watanzania wenye asili za Asia wote wana Vitambulisho vya NIDA

We mjinga sikiliza, ni haki ya Raia kuwa na Kitambulisho sio swala la pesa wala nini? Nchi imejaa vilaza sana hii, kwamba kika kitu lazima uhonge? Hata vile ambayo wewe ni haki yako kuvipata? Kwa akili zako fupi unaona ni ujanja?
Sawa kilaza.
Sasa usituletee malalamiko yako hapa kisa waAsia wote wana vitambulisho vya taifa, kama unajua ni haki yako na hupati unadhani hiyo haki yako itakuletea?.

Kaa kwa kutulia hii ni Afrika, ukitaka haki yako lazima uipambanie hata kwa kuhonga siyo kupiga kelele kama mbuzi mwenye njaa!.
 
Juzi nimepigiwa simu na mwekezaji mmoja kutoka Norway aliyefika Tanzania mwaka jana (2022) August, akiwa na namba ya simu ya mtandao wa Vodacom iliyosajiliwa kwa majina yake yote ya kwenye passport.

Nilipokutana naye, nilimuuliza amesajiri vipi namba yake ya simu,akaniambia ana kitambulisho cha NIDA, kitambukisho na sio namba!.

Serikali haiwajali Watanzania.
 
Swali ni kwanini wao wapewe na ikienda mtu unapata namba tu bila kitambulisho?

Acheni kuzunguka hao NIDA wamejaa rushwa. Nilishawahi kwenda mikono mitupu kwa ajili ya kitambulisho nikapewa maneno ooh sahv material ya kuprint hakuna na bla bla.

Nikamcheki dada mmoja tukaongea akadai nimpe hela nikampa mbona nilikipata fasta tu tena kwa kuletewa na mtu mpaka nilipo.
 
Kuna watu wanawatetea sana hawa jamaa ni wala rushwa wakuu
 
Mbona nina Wakenyabwana vitambulisho vya NIDA vya uraia sio vya ukaazi.
 
Kilaza ni wewe hapo, Unaweza kujiona umeongea point kumbe utumbo mtupu, kwa kifupi weww ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine, endelea na project ya kulamba wanaume miguu Chawa wewe
 
Tatizo ni CCM
 
Watanzania tunakosa Kadi za NIDA kwa sababu ya CCM.
 
Kilaza ni wewe hapo, Unaweza kujiona umeongea point kumbe utumbo mtupu, kwa kifupi weww ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine, endelea na project ya kulamba wanaume miguu Chawa wewe
Naona unapanic, soon utavunja simu.

Kaa kwa kutulia hii ni Afrika, ukitaka haki yako lazima uipambanie hata kwa kuhonga siyo kupiga kelele kama pimbi maji mwenye njaa!.
 
Tatizo hapa nchini wakimbizi wengi, wanyarwanda, warundi, wakongo, wamachinga, wanyasa, wazambia, waethiopia, wasudani, waganda, wakenya nk nk, halafu wao pia weusi kama sisi, kipilipili kama kawa, sasa hapo unamtambuaje kirahisi? Na pia asilimia 80 hawana documents, hao waasia wajanja sana, mtoto akizaliwa leo tu kesho tayari yupo rita anchukua cheti cha kuzaliwa, sie mpaka unazeeka huna na hata wazazi wako pia hawana
Kaaaaaaazi Kweli kweli
 
Vitambulisho vipi na vinapatikana saivi
 
Kuna tatizo kubwa la watumishi wengi wa serikali na taasisi zake kuwa watiifu, submissive na kujipendekeza kwa wageni (hii inaanzia ngazi za chini hadi viongozi).
Hali hii Ina uhusiano mkubwa sana na umasikini wa nchi na Afrika kwa ujumla. Wanaohudumiwa haraka na kwa heshima ni wageni kuliko wenye nchi. Zipo bado fikra za kitumwa maeneo mengi.
Tunahitaji kuwafundisha watu wetu kujiona superior hasa wakiwa nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…