Wageni na Watanzania wenye asili za Asia wote wana Vitambulisho vya NIDA

Namba unaipata baada ya miezi 6 ukienda ofisi za kata yako unakuta kitambulisho chako. Wabongo hatupendi kufuatilia mambo ndio maana tunalalamika waasia wanapata vitambulisho wao wamefuatilia. Na swala la wao kupata vitambulisho siwezi semea sana kwakua huenda wanastahili kupata mbali na hapo zipo mamlaka za kudhibiti mambo hayo
 
Sio kila kata vipo, nyingi havipo.
 
Hapo kwenye kupita Kila ngazi ya utendaji sidhani kama ni kweli maana watu kibao ambao sio raia wa Tanzania wanavitambulisho vya NIDA
 
Ukienda BRELA kusajiri kampuni na bidhaa mpya kabisa sokoni wanaotuzungusha ili Waukesha idea zetu ni hawahawa ngozi nyeusi,na wanawauzia,ukienda uhamiaji kuomba passport sababu unataka kwenda Dubai kutalii wanakwambia lete barua ya Mualiko,hawa weepe ni shwaaa shwaaaa,hapendwi mtu duniani inapendwa pesa,hao wana watu wao ndani anapiga tu simu ,anafanikisha muamala,over
 
Waarabu wengi ni wazawa wageni hawafiki hata theluthi ya wazawa,kama wanalipishwa mbona kuna mchina alihukumiwa kisutu kwa kumiliki kitambulisho cha NIDA,au yeye hana haki?
 
Ungewabana hao wa-Asia,wakuibie Siri,wanavipataje ili nawe upate.
Usichojua nini sasa,network plus mpunga ndio habari ya mjini ,hao jamaa wanaongoza Kwa shortcuts mjini mishe zao zote na hasa wakifanya kazi na mtu mweusi
 
Mama yako katoka burundi nae anakitambulisho cha nida
 
Mama yako katoka burundi nae anakitambulisho cha nida
 
Angalia nyumba za asia zilizojengwa mjini na mikoani za ghorofa zimeandika mwaka 1904 nyumba ilipojenga kabla hata ya uhuru na kabla hata ya wewe mkimbizi kutoka burundi babu yako hajazaliwa unasemaje wao sio raia
 
Waarabu wengi wana NIDA ila watu wa kigoma na kagera wanaambiwa uraia wao una utata so hawawezi pata NIDA ontime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…