Wagiriki nini kiliwakuta? Sasa hivi hamna tena Wagiriki wenye akili kama zamani?

Wazee wa mathe... Mimi sina cha kuongozea maana hio formula haijanipatia hata mia!!
But this doesn't make this useless
Huwezi kuwa scientist usiitumie hio fomula.
Ni kana ANATOMY human skeleton mii hainisaidii kitu ila madokta inawasaidia.
Chemistry ina wasaidia wafamasia,lab technitian.
Kila kitu kinatumika mahala hata kama wewe hukitumii
 
Kwa hio hizo jamii wote walikuwa walevi, inawezekana kweli?
 
Sasa Yesu ni binadamu
 
Newton?
 
Mbona bado wapo kuna Mgiriki anaitwa Giannis Antetokounmpo Huko Marekani wanamtambua vizuri
 
Hapa unaweza kuelezea mmoja mmoja ili tuone akili zao.
 
Broo Ushindi unaonekana unajua Mambo mengi lkn na weye pia unaonekana unatuficha sijui kwa kuogopa au kwa kuhofia maisha yako lkn changa moto zipo sana tunaomba kuwa muwazi na utujuvye .Davinci kaleta hii mada sio yy anajua bali sote tunataka kujifunza na kujua so lete vitu Ushindi.
 
Mkuu hizo nchi zimeandikwa katika kitabu cha Daniel.
 
Dhambi zimezidi Greece nilikuwepo huko miaka ya karibun ushoga nje nje Yani nilistaajabu nilikuwa mji wa Piraeus
Nimesikia huko Piraeus ni balaa utamkuta tour guy kutoka kanisani anakupeleka katika storiya ya mambo ya dini mukiwa peke yenu mara hufurama anakwambia umpige nao ,baadhi wa vijana wengi enzi za ubaharia walikuwa wanakwenda Piriosi wanakuja wagiriki na kuchukua vijana wankukodi mpk kwake unampiga yy na mkewe au unampiga mkewe akipata midadi anakuondosha anaendelea na mchezo wenyewe mabaharia wakiwaita wamanga watoto wa kigiriki nasikia ni wazuri balaaa.
 
Usimsahau Galileo Galilei
 
Hii ni herufu za kiarabu au lugha ya kiarabu na imeandikwa Alqalam hadi wathalathuun .Kalamu thalithini na moja naona ni mambo ya hisabu
 
Nakubali sana mada zako chief, kupitia huu uzi nimejifunza mengi hakika JF ni zaidi ya shule.
Hapa Upo college kabisa .Mungu ambariki sana mwanzishi wa JF ana vision sana na Allah ampe afya na akili kubwa .
 
Hii ni herufu za kiarabu au lugha ya kiarabu na imeandikwa Alqalam hadi wathalathuun .Kalamu thalithini na moja naona ni mambo ya hisabu
Umeona sahihi yaani wakati natafuta juu ya maandishi ya kale ndo nikaenda yapata kwa wazee wazamani sanaa ambao nao walipata maandishi hayo na kuyaweka katika Alifabeti za kiarabu na Wala haiathiri maana yoyote maana herufi ni zile zile mkuu waweza weka kutoka kiarabu kwenda Alfabeti tulizozizoea.
 
Naomba huu mjadala wa yesu na Mohammad uishie hapa maana utabaidiriaha muktadha husika wa mada yangu!
Naunga mkono hoja.
Kuna baadhi ya watu vichwa vyao vimejaa mavi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…