Wagner wamepewa kazi ya kuishughulikia Poland?

Ni ujinga kuamini kikundi kama Wagner kinaweza kuifanya Poland chochote. Belarus mwenyewe kwa Poland hachukui round sembuse kikundi cha askari sijui elfu 30. Hofu iliyopo ni kuwa wanaweza kujifanya ni wakimbizi na kwenda kufanya vitendo vya kigaidi kwenye nchi za Ulaya, nje ya hapo hapo hakuna tishio lingine lolote.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kama hakuna tishio kilichofanya Poland aka deploy jeshi mpakan mwa Belarus n nn???...jiongeze
 
War is a European thing acha waendelee kucharurana Kisha afrika na china zitaenda kuwasuluhisha
 
Vita ni akili.Bila shaka Putin amejua kuwa nguvu ya Ukraine katika vita inatokana sana na ushirikiano na Poland kwa vile anavyoruhusu ardhi yake kuwa mapitio makubwa ya silaha.Kwa vile Poland ni mwanaachama wa NATO ni kuwa Urusi ikiipiga moja kwa moja kutapatikana kisingizio kuwa ameipiga NATO na makele kuongezeka.
Dawa ni Wagner wafanye vitu vya kuitaabisha Poland kwa niaba ya Urusi na uwezo wa kuzonga zonga Wagner wanao.Urusi itajifanya kama haioni na ikiulizwa itasema haijui wala hihusiki na kikundi ambacho wao wanajua kiliwahi kutaka kuiteka Moscow. Mbinu hii kwa vita ya muda mrefu itaipa Urusi nafasi nzuri ya kurudisha nguvu na kujiimarisha kuipiga Ukraine.
Ina maana silaha anazopewa Mukraine ni hatari kiasi cha kumfanya Putin ajizungushe zungushe kama mpira
 
Ni ujinga kuamini kikundi kama Wagner kinaweza kuifanya Poland chochote. Belarus mwenyewe kwa Poland hachukui round sembuse kikundi cha askari sijui elfu 30. Hofu iliyopo ni kuwa wanaweza kujifanya ni wakimbizi na kwenda kufanya vitendo vya kigaidi kwenye nchi za Ulaya, nje ya hapo hapo hakuna tishio lingine lolote.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Alafu nyinyi kenge mnaochambia magunzi huko vijijini ndanindani mnasema
Screenshot_20230803-193752.png
Wagner hawana madhara pale mpakani mwa Belarus na Poland.
Poland yenyewe inasema kundi la Wagner sio tu linaweza kuivuruga Poland bali linaweza kuivuruga NATO kwa upande wa mashariki.

Sasa nawauliza nyie wapiga punyeto, wasagaji, wachambia gunzi na mashoga wote wa humu kama mnajua walau mipaka ya NATO kwa upende wa mashariki ina urefu wa kilomita ngapi?
 
Ni ujinga kuamini kikundi kama Wagner kinaweza kuifanya Poland chochote. Belarus mwenyewe kwa Poland hachukui round sembuse kikundi cha askari sijui elfu 30. Hofu iliyopo ni kuwa wanaweza kujifanya ni wakimbizi na kwenda kufanya vitendo vya kigaidi kwenye nchi za Ulaya, nje ya hapo hapo hakuna tishio lingine lolote.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kama weigner anapigana na nato wote anawatoa kamasi poland mbona anapita tu
 
Alafu nyinyi kenge mnaochambia magunzi huko vijijini ndanindani mnasema View attachment 2707429Wagner hawana madhara pale mpakani mwa Belarus na Poland.
Poland yenyewe inasema kundi la Wagner sio tu linaweza kuivuruga Poland bali linaweza kuivuruga NATO kwa upande wa mashariki.

Sasa nawauliza nyie wapiga punyeto, wasagaji, wachambia gunzi na mashoga wote wa humu kama mnajua walau mipaka ya NATO kwa upende wa mashariki ina urefu wa kilomita ngapi?
😂😂😂😂
 
Vita ni akili.Bila shaka Putin amejua kuwa nguvu ya Ukraine katika vita inatokana sana na ushirikiano na Poland kwa vile anavyoruhusu ardhi yake kuwa mapitio makubwa ya silaha.Kwa vile Poland ni mwanaachama wa NATO ni kuwa Urusi ikiipiga moja kwa moja kutapatikana kisingizio kuwa ameipiga NATO na makele kuongezeka.
Dawa ni Wagner wafanye vitu vya kuitaabisha Poland kwa niaba ya Urusi na uwezo wa kuzonga zonga Wagner wanao.Urusi itajifanya kama haioni na ikiulizwa itasema haijui wala hihusiki na kikundi ambacho wao wanajua kiliwahi kutaka kuiteka Moscow. Mbinu hii kwa vita ya muda mrefu itaipa Urusi nafasi nzuri ya kurudisha nguvu na kujiimarisha kuipiga Ukraine.
The effects of the Cannabis Sativa. Bangi ni mbaya sana.
 
Ina maana silaha anazopewa Mukraine ni hatari kiasi cha kumfanya Putin ajizungushe zungushe kama mpira
Silaha hata ikiwa ni gobore usiipuuze. Anachofanya Putin ndio sahihi kabisa katika vita.Na ni akili sana kusikiliza mipango ya kivita ya adui yako halafu hutoki kwenda kugombana naye kwa ulilolisikia bali unachukua hatua kujilinda.
Vifaru vyote vilivyotajwa vinatolewa kwa Ukraine alivifanyia ujasusi na akapata taarifa za muundo wake na vinavyofanya kazi halafu akatafuta countereffect zake.Matokeo haviwezi kupenya kwenye mashimo yaliyochimwa kulingana na upana na urefu wakt na vikipenya vinakutana na mabomu kila moja yanayoweza kukiripua.
Kule mbele kabisa kuna ndege ziko juu zinalenga shabaha kwa uhakika kabla ya kukutana na askari wa miguu waliojificha maeneo maalumu.

Russia's defensive lines are 'much more complex and deadly than anything experienced by any military in nearly 80 years,' retired general says

Unapigana kwenye kikosi kipi huko vitani ?
 
Kwa Poland ni kwenda kupoteza kabisa hili kundi la wagner na kiongozi wake mwenyewe!
Muda ni mwalimu mzuri mno!
 
Hujawaza vizuri na itakuwa hujui utendaji kazi wa Wagner.Kumbuka hawa watakuwa wako ndani ya Belarus kwa sasa.Poland ikitaka iwashinde Wagner itabidi wapigane na Belarus.Sasa unawaonaje Belarus na tayari wameshapelekewa nyuklia na Urusi.Wakati huo huo Urusi inaweza kupeleka silaha yoyote ya kupigana na NATO kwenda Belarus ambazo zikitumika itakuwa ni kama vile silaha za NATO zinavyoingizwa Ukraine.
 
Ni ujinga kuamini kikundi kama Wagner kinaweza kuifanya Poland chochote. Belarus mwenyewe kwa Poland hachukui round sembuse kikundi cha askari sijui elfu 30. Hofu iliyopo ni kuwa wanaweza kujifanya ni wakimbizi na kwenda kufanya vitendo vya kigaidi kwenye nchi za Ulaya, nje ya hapo hapo hakuna tishio lingine lolote.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Poland hii hii ambayo inahistoria ya kubondwa Kila vita [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa haijakuwa wazi sana juu ya kilichotokea pale kiongozi wa Wagner, Prigozhin alipofanya uasi na kuelekea kama kutaka kuipindua serikali ya Urusi.

Nchi rafiki za Ukraine zilionenaka kufurahia tukio lile japokuwa wachache walitilia mashaka mtiririko mzima wa matukio.Jambo lililowashangaza wengi ni makubaliano ya ghafla ya kumpeleka kiongozi huyo uhamishoni nchini Belarus ambaye ni mshirika mkubwa na jirani na Urusi.

Pamoja na zawadi hiyo aliyopewa Rrogozhin baada ya uasi bado akaongezewa kupelekewa askari wa vikosi vyake na baadae silaha na pesa.

Belarus pia ni jirani na nchi ya Poland ambayo nayo ni mshirika mkubwa na mjumbe wa jumuiya ya NATO. Nchi hiyo vile vile ni njia kubwa ya kupitishia silaha zinazotolewa kama sadaka na zinazonunua Ukraine kwa ajili ya kuendesha vita hivyo na Urusi.

Kabla hata miezi miwili kufika tayari vikosi vya Wagner vimeonekana kwenye mpaka wa Poland na Belarus na hapo juzi helkopta za Wagner zimelalamikiwa na Poland kwamba zimeingia ndani ya maeneo ya mipaka yake.

Harakati hizo za kuongezeka harakati za Wagner inavyoonekana zimeanza kuishtua Poland mbapo sasa imeanza kutoa kauli za kupingana na mipango ya Ukraine katika vita vyake ambazo nyengine Poland imesema zinafanyika bila kushauriana nao.
Hivi nyie mnachekesha hicho kikundwi cha wanywa vodka ndio cha kuishughulikia poland?
 
Ngoja utaona kadri siku zinavyokwenda.Polanda atahamanika kama simba aliyezungukwa na fisi.Akigeuka huku anavutwa nyama hii na huku ile mpaka atalegea au atakimbia.
 
Unaota ndoto kwa influence ya ushabiki na mihemko
 
Mwendo mdogo mdogo mpaka wataelewa.
Umebakia mdogo mdogo...
Chelewa Chelewa utamkuta mtoto Sio wako[emoji15][emoji12]
Mwaka na uchafu sasa Camanda Zele amemfanya Putini aishi kwenye bunkers Kama buku
 
Hujawaza vizuri na itakuwa hujui utendaji kazi wa Wagner.Kumbuka hawa watakuwa wako ndani ya Belarus kwa sasa.Poland ikitaka iwashinde Wagner itabidi wapigane na Belarus.Sasa unawaonaje Belarus na tayari wameshapelekewa nyuklia na Urusi.Wakati huo huo Urusi inaweza kupeleka silaha yoyote ya kupigana na NATO kwenda Belarus ambazo zikitumika itakuwa ni kama vile silaha za NATO zinavyoingizwa Ukraine.
#15,,nilitaka kuyajua haya.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii dunia hii[emoji114][emoji114][emoji114]

Wagner wataendelea kumpapasa kiuno Poland mbele ya mkewe atalazimika aingie vitani.[emoji1787]

Kinachonichekesha,hutaki unaingia vitani,,,unataka unaingia vitani.
 
Back
Top Bottom