Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
ProRussia huwa wanazungumza kama walevi wa mihadaratiNi ujinga kuamini kikundi kama Wagner kinaweza kuifanya Poland chochote. Belarus mwenyewe kwa Poland hachukui round sembuse kikundi cha askari sijui elfu 30. Hofu iliyopo ni kuwa wanaweza kujifanya ni wakimbizi na kwenda kufanya vitendo vya kigaidi kwenye nchi za Ulaya, nje ya hapo hapo hakuna tishio lingine lolote.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app