Wagner wamepewa kazi ya kuishughulikia Poland?

ProRussia huwa wanazungumza kama walevi wa mihadarati
 
Lkn hapo hapo ulikua unaamini hao mamluki wanaweza kumpindua putin? Nyie watu huwa mna matatizo gani?
Mapinduzi ndani ya nchi huwa yanafanywa hata na watu wapumbavu sana kama Iddi Amini ambaye hakukanyaga hata darasa moja na aliingia jeshini kwa fani ya upishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…