Wagoma kujiunga form one kisa ugumu wa ajira

Wagoma kujiunga form one kisa ugumu wa ajira

Inabidi tuanze kuishi kama wahindi. Asilimia kubwa ya wahindi wanawapeleka watoto shule ili wajue kusoma na kuandika tu na wakishafika umri wa miaka zaidi ya kumi, wanawaandaa kuja ku take care biashara zilizoanzishwa na wazazi wao
Sasa kama mzanz mwenyew ni wale wa mwisho wa mwezi hata idea ya biashara Hana inakuaje hapo
 
Inabidi tuanze kuishi kama wahindi. Asilimia kubwa ya wahindi wanawapeleka watoto shule ili wajue kusoma na kuandika tu na wakishafika umri wa miaka zaidi ya kumi, wanawaandaa kuja ku take care biashara zilizoanzishwa na wazazi wao
Ngozi nyeusi itaishia kugombana na kuangamiza Mali tu ukikata kamba
 
😂😂 Kwahyo pengo lipo sector gan tuende hko, maana kila sector kumejaa
Ujuzi ni mwingi sana
1. Udobi
2. Coding
3. Ususi
4. Baking ( japo wapika cake pia wamejaa)
5. Fundi wa magari na vyombo vya moto
6. Camera installation,
7. Fundi friji, AC, Printer na vitu kama hivyo
N.k
🤣🤣🤣🤣Halafu ww
Kwahiyo niache nisisomee?
Kweli tuache kwenda kwa Anna collection tuje kwako.
 
Huu sio wakati wa kusoma ili uajiriwe, ajira zimekuwa kizingumkuti na urutubishaji umasikini na ufukara wa kujitakia. Hakuna mtu aliyetajirika kwa kuajiriwa. Kuajiriwa ni kupata hela ya kujikimu tu kimaisha ya kawaida na ukistaafu aibu na ufukara vinakukumba huku nguvu zikiwa zimeisha kukimbizana na mishemishe za hapa na pale. Kusoma imebaki tu kupata nafasi za ukurugenzi na nafasi za juu za kisiasa
 
Back
Top Bottom