Wagoma kujiunga form one kisa ugumu wa ajira

Wagoma kujiunga form one kisa ugumu wa ajira

Watoto Hawa bado ni wadogo sana wengi ni miaka 11-13.hawawezi kuingia kitaa sasa.ila wakimaliza kidato Cha nne hapo labda,maana watakupa na miaka 14-16🤣🤣🤣🤣🪑💺
Hyohyo 11-13 mbona veta anaingia fresh tu.
 
Hyohyo 11-13 mbona veta anaingia fresh tu.
Mtoto wa 11-13 hawezi nyanyua angle grinder. Pia hawezi kugeuza yeti(grill) la 4Fx7F🤣🤣🤣🤣.Pia hawezi kufanya maamuzi ya kiufundi mfano kukadiria bei ya kazi aliyoifanya 🤣🤣🤣🤣🪑💺
 
Kwahiyo miaka 7 yote wameambulia kuamini elimu ni kwa ajiri ya kuajiriwa!
Hata vijana wote waliohitimu wangekuwa mtaan bado elimu ina nafas yake katika utambuzi wa mambo.
Hawa wapelekwe kwa nguvu
Sasa mkuu,ukiwapeleka kwa nguvu itasaidia nini? Hapo wazazi wakubaliane na hali halisi. Gharamia litoto linakuja na grade ya mwisho. Kama hawajisikii,ukimlazimisha hamna kitu. Wasaidiwe tu wanachojisikia,ila ukute wengine washajiunga JF, wameona lile jukwaa la mambo ya kileo
 
Ccm na serikali yake lawama hizi ni zao!
ccm ndo chanzo elimu mbovu hivyo ajira hamna wao vyeo wanapeana kwa kujuana ya nini kusoma afu mbele kisieleweke mzazi anajikuta alipoteza hela!

Sidhani kama watoto wa viongozi wa chama na serikali wanaweza kataa kuendelea na masomo kutokana na mazingira waliyopo na shule wanazotakiwa kuendelea na masomo

Enzi hizo unamaliza la saba na kufaulu sio majirani wala wanakijiji wote wanakuja kumpongeza na kumtakia kila la kheri aliyefaulu jamii iliyomzuka ni full shangwe! Wasomi wa sasa hivi kuna muda unaona mzazi si bora asingeharibu hii hela na kila familia sehemu kubwa leo hii ina msomi kazi hana.

Wasomi waliogopeka na kuheshimika enzi hizo sasa hivi naamini kila nyumba ina msomi shida nyingine ni huu udokta wa kupewa mtu kisiasa tu inakatisha tamaa kwa hao vijana unamaliza masomo uliyekuwa nae darasa 1 kapiga hatua flani we bado unajitafuta

Ccm ccm Ccm ndo mchawi wa hii nchi!
Hakuna elimu nyingine nzuri kama kubadili mazingira, somo la jiografia hueleweka zaidi ukitoka sehem 1 kwenda nyingine.
Hizi shule za kata hilo halipo yaani la 7 hapo, secondary ya kata hapo na sasa hivi wana mpango vyuo vya ufundi viwe kila wilaya sasa jiulize mtu kazaliwa, kakua na kusoma eneo moja huyu uelewa wake bado ni mdogo kulinganisha na ambae kabadili mazingira hata kama hana elim ya darasani!
 
Huu ni uongo,
Jamaa wana bachelor zao kibao,
Kina Mo wana bachelor, Jamaa wa lake ana bachelor, watoto wa Bakhresa wote wana bachelor, usiamini kuwa wahindi hawasomi,
Yaani bora umesema maana wabongo wanapenda huu uongo, aliyewaambia wahindi wanaishia la saba sijui nani, story za vijiweni, wahindi wanasomesha watoto wao jamani Tena shule nzuri na vyuo vikuu wanaenda Tena nje ya nchi kabisa.Ila tukikaa vijiweni tunadanganyana.
 
Kwahiyo miaka 7 yote wameambulia kuamini elimu ni kwa ajiri ya kuajiriwa!
Hata vijana wote waliohitimu wangekuwa mtaan bado elimu ina nafas yake katika utambuzi wa mambo.
Hawa wapelekwe kwa nguvu
Ajira ni pamoja na kujiajiri sio kuajiriwa tu, ndio maana wanataka wasomee fani kama welding ili wajiajiri.
 
Yaani bora umesema maana wabongo wanapenda huu uongo, aliyewaambia wahindi wanaishia la saba sijui nani, story za vijiweni, wahindi wanasomesha watoto wao jamani Tena shule nzuri na vyuo vikuu wanaenda Tena nje ya nchi kabisa.Ila tukikaa vijiweni tunadanganyana.
Kabisa mkuu.Wahindi wanasoma sana aisee.tusidanganyane hapa.
 
Kwahiyo miaka 7 yote wameambulia kuamini elimu ni kwa ajiri ya kuajiriwa!
Hata vijana wote waliohitimu wangekuwa mtaan bado elimu ina nafas yake katika utambuzi wa mambo.
Hawa wapelekwe kwa nguvu
Ukiachana na broken English hakuna faida nyingine ya kusoma elimu ya bongo zaidi ya ajira

Elimu ya kipumbavu mno
 
Inabidi tuanze kuishi kama wahindi. Asilimia kubwa ya wahindi wanawapeleka watoto shule ili wajue kusoma na kuandika tu na wakishafika umri wa miaka zaidi ya kumi, wanawaandaa kuja ku take care biashara zilizoanzishwa na wazazi wao
Wahindi mbona ndio wanaongoza kuoperate kwenye viwanda mbalimbali Tz

Wanasoma sana na wapo vizuri kwenye practical
 
Back
Top Bottom