Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Yule alokula mkwaju hivi yupo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hii ni kweli kabisa!Washauri watia wote wasisahau; kwa usalama wao wahakikishe wanavaa helmet muda wote
Watu wanalijua hilo sema wanawaza udes,udc, na udasKuna majimbo ya kutia nia harafu unapita kule mojawapo ni la Ndugai, Majaliwa, maana unajua huwezi pita ata shetani ashuke duniani
Alipewa u-DC yuko huku wilayani kwangu! Naona safari hii amegwaya, hataki tena kwenda kupigwa fimbo!Atawatandika bakora. Hawamjui Ndugai hawa. Yule aliyepigwa 2015 alipozwa kwa kupewa uDC sijui uDED.
Dawa waungane waweke mshindani mmoja dhidi ya Ndugai.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
wananchi wanataka hoja sio fimbo unazosema kwa ajili gani sasa??Washauri watia wote wasisahau; kwa usalama wao wahakikishe wanavaa helmet muda wote
angalau basi tupate ukampeni meneja jamani sio mbaya...sasa mpoki na kigamboni huoni maajabu zaidiWatu wanalijua hilo sema wanawaza udes,udc, na udas
Ndugai akichaguliwa kongwa naapa kwenda kuwatia mimba wadada 7 ili niwafundishe SoMo la (mjinga mkwe)Taarifa kutoka Kongwa zinaeleza kwamba mpaka jana watia nia 8 walishachukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kongwa ambalo lilikuwa chini ya Job Ndugai ambaye pia alikuwa Spika wa bunge la 11 , ambalo wadau wa siasa wanadai lilivunja rekodi , haifahamiki lilivunja rekodi gani .
Bali kinachofahamika ni kuzomewa kwa Job Ndugai na wapiga kura wa Kongwa kwenye mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Mwenyekiti wa ccm Ndugu Magufuli .
Majina yao haya hapa : Moris Zaidi , Dr Samora Mshang'a , Apiov Lywiva , Dr Philemon Saigodi , Dotto Chibupa , Martin Chihimba na Sahewa Elias (majina yanaweza kuongezeka kwa vile muda bado unaruhusu )
ila we ni kanafiki lanSafi sana kwa watia nia wote
Nalog off
Imekuwaje tena?ila we ni kanafiki lan
Wajiandae na fimbo/ mikwaju ya vichwani.
Watapewa ukuu na ukurugenzi wa wilaya kama waliopigwa fimbo za kichwaTaarifa kutoka Kongwa zinaeleza kwamba mpaka jana watia nia 8 walishachukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kongwa ambalo lilikuwa chini ya Job Ndugai ambaye pia alikuwa Spika wa bunge la 11 , ambalo wadau wa siasa wanadai lilivunja rekodi , haifahamiki lilivunja rekodi gani .
Bali kinachofahamika ni kuzomewa kwa Job Ndugai na wapiga kura wa Kongwa kwenye mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Mwenyekiti wa ccm Ndugu Magufuli .
Majina yao haya hapa : Moris Zaidi , Dr Samora Mshang'a , Apiov Lywiva , Dr Philemon Saigodi , Dotto Chibupa , Martin Chihimba na Sahewa Elias (majina yanaweza kuongezeka kwa vile muda bado unaruhusu )
Yeye kachukua fomu?Taarifa kutoka Kongwa zinaeleza kwamba mpaka jana watia nia 8 walishachukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kongwa ambalo lilikuwa chini ya Job Ndugai ambaye pia alikuwa Spika wa bunge la 11 , ambalo wadau wa siasa wanadai lilivunja rekodi , haifahamiki lilivunja rekodi gani .
Bali kinachofahamika ni kuzomewa kwa Job Ndugai na wapiga kura wa Kongwa kwenye mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Mwenyekiti wa ccm Ndugu Magufuli .
Majina yao haya hapa : Moris Zaidi , Dr Samora Mshang'a , Apiov Lywiva , Dr Philemon Saigodi , Dotto Chibupa , Martin Chihimba na Sahewa Elias (majina yanaweza kuongezeka kwa vile muda bado unaruhusu )
Huyu jamaa atakuwepo?Taarifa kutoka Kongwa zinaeleza kwamba mpaka jana watia nia 8 walishachukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kongwa ambalo lilikuwa chini ya Job Ndugai ambaye pia alikuwa Spika wa bunge la 11 , ambalo wadau wa siasa wanadai lilivunja rekodi , haifahamiki lilivunja rekodi gani .