Uchaguzi 2020 Wagombea 8 wajitokeza kutaka kumng'oa Job Ndugai Kongwa

Uchaguzi 2020 Wagombea 8 wajitokeza kutaka kumng'oa Job Ndugai Kongwa

Kitu pekee ninachomsifu ndugai ni kiweka nidhamu ya Bunge kwa Upande wa Wapinzani Japo upande wa CCM alikua analega kutoa maamuzi.

Wapinzani walibadilika na kuwa na nidhamu kubwa sana.
 
Taarifa kutoka Kongwa zinaeleza kwamba mpaka jana watia nia 8 walishachukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kongwa ambalo lilikuwa chini ya Job Ndugai ambaye pia alikuwa Spika wa bunge la 11 , ambalo wadau wa siasa wanadai lilivunja rekodi , haifahamiki lilivunja rekodi gani .

Bali kinachofahamika ni kuzomewa kwa Job Ndugai na wapiga kura wa Kongwa kwenye mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Mwenyekiti wa ccm Ndugu Magufuli .

Majina yao haya hapa : Moris Zaidi , Dr Samora Mshang'a , Apiov Lywiva , Dr Philemon Saigodi , Dotto Chibupa , Martin Chihimba na Sahewa Elias (majina yanaweza kuongezeka kwa vile muda bado una
 
Kuna majimbo ya kutia nia harafu unapita kule mojawapo ni la Ndugai, Majaliwa, maana unajua huwezi pita ata shetani ashuke duniani
Kama ilivyokuwa kwa Jiwe, ndivyo itakavyokuwa kwa Majaliwa, Ndugai. Na wa Lumumba vilevile wataimba na kushangilia kwa mapambio
 
Wavae HELMET siku ya kura ya maoni. They will thank me later [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wapumbavu tu ndo wataenda tia nia huko. Magu alishasema akiwa kwenye hayo majimbo, atawashangaa watakaochukua fomu kutaka kushindania hayo majimbo. Wenye majimbo yao kwa kazi walizofanya, waatakiwa kupita bila kupingwa.

Watia nia hao wajue hata Ukatibu tarafa au kata hawata upata.
Basi tutamchagua mpinzani
 
Taarifa kutoka Kongwa zinaeleza kwamba mpaka jana watia nia 8 walishachukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kongwa ambalo lilikuwa chini ya Job Ndugai ambaye pia alikuwa Spika wa bunge la 11 , ambalo wadau wa siasa wanadai lilivunja rekodi , haifahamiki lilivunja rekodi gani .

Bali kinachofahamika ni kuzomewa kwa Job Ndugai na wapiga kura wa Kongwa kwenye mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Mwenyekiti wa ccm Ndugu Magufuli .

Majina yao haya hapa : Moris Zaidi , Dr Samora Mshang'a , Apiov Lywiva , Dr Philemon Saigodi , Dotto Chibupa , Martin Chihimba na Sahewa Elias (majina yanaweza kuongezeka kwa vile muda bado unaruhusu )
Kwani siku hizi hatembei na rungu?
 
Back
Top Bottom