Uchaguzi 2020 Wagombea 8 wajitokeza kutaka kumng'oa Job Ndugai Kongwa

Uchaguzi 2020 Wagombea 8 wajitokeza kutaka kumng'oa Job Ndugai Kongwa

Taarifa kutoka Kongwa zinaeleza kwamba mpaka jana watia nia 8 walishachukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kongwa ambalo lilikuwa chini ya Job Ndugai ambaye pia alikuwa Spika wa bunge la 11 , ambalo wadau wa siasa wanadai lilivunja rekodi , haifahamiki lilivunja rekodi gani .

Bali kinachofahamika ni kuzomewa kwa Job Ndugai na wapiga kura wa Kongwa kwenye mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Mwenyekiti wa ccm Ndugu Magufuli .

Majina yao haya hapa : Moris Zaidi , Dr Samora Mshang'a , Apiov Lywiva , Dr Philemon Saigodi , Dotto Chibupa , Martin Chihimba na Sahewa Elias (majina yanaweza kuongezeka kwa vile muda bado unaruhusu )
Wamtoe maana hana lolote
 
Back
Top Bottom