Uchaguzi 2020 Wagombea 8 wajitokeza kutaka kumng'oa Job Ndugai Kongwa

Washauri watia wote wasisahau; kwa usalama wao wahakikishe wanavaa helmet muda wote
wananchi wanataka hoja sio fimbo unazosema kwa ajili gani sasa??

mwanasiasa fimbo yake ni ahadi kwa wananchi tu
 
Pale hawangoi Ila wanagombania kumrithi manake hajatangaza nia bila shaka ma hana mpango
 
Ndugai akichaguliwa kongwa naapa kwenda kuwatia mimba wadada 7 ili niwafundishe SoMo la (mjinga mkwe)
 
Ndugai alichomfanyia Lissu kinatakiwa kiwekwe wazi jimboni kwake lakini @wikpedia imuunganishe ndugai na mauwaji ya Lissu Mungu akimbize muda !!!!!! Na muda hauna unafiki Wala urafiki.
 
Ndugai hafai kurudi kabisa tena usalama wa taifa mlione hili kwa macho mapana ndugai anatakiwa astahafu halafu hatua zifatwe.........utam kolea uje ......
 
Ndugai angesoma alama za nyakati asingegombea Tena. Kama namuonea mtu aseme. Jimbo la ndugai halina maji umeme Wala shule ya kueleweka.
 
Watapewa ukuu na ukurugenzi wa wilaya kama waliopigwa fimbo za kichwa
 
Yeye kachukua fomu?
CHADEMA, ACT-Wazalendo nao watakuwepo? Wana uzito gani?
Maswali kama haya najua unayachukulia juu juu sana, lakini yana maana kubwa zaidi. Hapa ndipo penye shida na vyama hivi vya upinzani.
Bado mnanogewa sana kucheza kwenye ligi ya chini. Hili ni tatizo.

Ngoja niisuze roho yangu kwa kumkumbuka 'Husna' wa Chato.
 
Tupate Wadhamini Wetu Kidogo Wakati Tunamngoja Mh Umy
Aje Na Idadi Ya COVID 19
 
Huyu jamaa atakuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…