Uchaguzi 2020 Wagombea 8 wajitokeza kutaka kumng'oa Job Ndugai Kongwa

Kitu pekee ninachomsifu ndugai ni kiweka nidhamu ya Bunge kwa Upande wa Wapinzani Japo upande wa CCM alikua analega kutoa maamuzi.

Wapinzani walibadilika na kuwa na nidhamu kubwa sana.
 
 
Kuna majimbo ya kutia nia harafu unapita kule mojawapo ni la Ndugai, Majaliwa, maana unajua huwezi pita ata shetani ashuke duniani
Kama ilivyokuwa kwa Jiwe, ndivyo itakavyokuwa kwa Majaliwa, Ndugai. Na wa Lumumba vilevile wataimba na kushangilia kwa mapambio
 
Kuna majimbo ya kutia nia harafu unapita kule mojawapo ni la Ndugai, Majaliwa, maana unajua huwezi pita ata shetani ashuke duniani
Msekwa aliwahi kukosa ubunge ukerewe
 
Wavae HELMET siku ya kura ya maoni. They will thank me later [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Basi tutamchagua mpinzani
 
Kwani siku hizi hatembei na rungu?
 
siku ya kura za moni wahakikishe wamevaa Helmet kama waenda boda-boda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…