Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hakuna haja tena ya kusema sana sera zako, wewe tuambie tu uko timu ipi au hauna timu, hiyo inatosha wajumbe kujua unasimama na sera zipi.
Ikiwa mko wengi na msimamo wenu wa kitimu unafanana, basi kipimo ni namna unavyoipigania hiyo timu, hakuna maneno mengi.
Ikiwa msimamo wako kitimu haujulikani au hutaki kusema wazi, tegemea kushindwa kirahisi kabisa.