Wagombea uchaguzi jimbo la Chato enzi hizo

Hivi kweli humu jukwaani hakuna hata mtu mmoja aliefundishwa kemistri na huyu mkemia wetu, atupe wasifu wake kipindi alichokua anachezea chaki.
Hawawezi kukosekana mkuu, ila kufunguka ndio bado sijaona
 
Naskiaga alikua bonge la ticha, yaani hata kichwa yako ikiwa mbovu kama yangu ila akikupigisha pindi lazima uelewe.
 
Uzuri masomo ya sayansi hayahitaji kujua kuongea kingereza kivile...

Chemia anacheza na chemical formulas mambo yanaenda..
 
Hapo nazani alikuwa kwenye ngazi ya Masters, masuala ya kutu kayafanya juzi kati ya 2006 na 2009 ambapo tayari alishakuwa mzee
Jamaa anaonekana alikua jembe sana katika kuyachanganya makemikali.
Isingekua kujiingiza kwenye siasa inawezekana angekua ashagundua dawa ya ukimwi kwa kutumia tu maganda ya korosho.
 
Siasa inaharibu sana taaluma za watu.
Mtu akishajiingiza kwenye siasa ni vigumu tena kufanya tafiti kuhusu taaluma yake ya ubobezi badala yake atakuwa busy na propaganda za kisiasa tu.
 
Yaani natamani kwenye katiba ya nchi kungekua na kipengele cha marufuku kwa wanataaluma wote wa sayansi kujihusisha na kugombea uongozi katika mambo ya siasa.
 
Back
Top Bottom